Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Kabisa Mkuu Wangu Tena Inabidi Tumpige Game Zote Hii Ya Ligi Na ile Ya ASFC.Hakika Mkuu na tukimpa kichapo ndo ubingwa tutaufurahia vyeeema kabiisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu Wangu Tena Inabidi Tumpige Game Zote Hii Ya Ligi Na ile Ya ASFC.Hakika Mkuu na tukimpa kichapo ndo ubingwa tutaufurahia vyeeema kabiisa.
Si wote tunashiriki mashindano ya vilabu bingwa barani au?Eti wenzenu. Lol.
Ila bana Mtani hivyo unajiona unaeza kaa nao sehemu moja hao uliowataja hapo? [emoji854]
Ooh! Haina shida Mkuu.Jaribu kufatilia nyuzi zangu mkuu, utagundua kuwa ni Shabiki wa Yanga
Yap! Kikubwa wachezaji wasilewe sifa tu mbona tunamkalisha mapema tu.Kabisa Mkuu Wangu Tena Inabidi Tumpige Game Zote Hii Ya Ligi Na ile Ya ASFC.
Kweli Kabisa Wachezaji Wetu Wasijisahau Aisee.Yap! Kikubwa wachezaji wasilewe sifa tu mbona tunamkalisha mapema tu.
Kwani mmeshasahau mara hii?Kweli Kabisa Wachezaji Wetu Wasijisahau Aisee.
Tulia We Kipedo Subiri Kipigo Chako Tar 30.Kwani mmeshasahau mara hii?
Ukiwa shabiki wa utopolo tu,tabu,shida zote zinaanzia hapo
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sababu wakienda na ile kwamba tunaongoza kwa ten points basi si ajabu wakawadharau 5imba na mwishowe wakatuharibia Cv yetu bure ya msimu huu.Kweli Kabisa Wachezaji Wetu Wasijisahau Aisee.
Usichekeshe walionuna,wewe wa kuidharau LUNYASI?Sababu wakienda na ile kwamba tunaongoza kwa ten points basi si ajabu wakawadharau 5imba na mwishowe wakatuharibia Cv yetu bure ya msimu huu.
Kolo
Ni kweli mkuu. Kitaalamu uko sahihi. Ila kwa figisu za soka la bongo,ni hatari sana mabadiliko yanapotokea ghaflaMkuu hii ni nzuri katika kitengeneza utimamu wa wachezaji. Ni mbaya sana kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi ya kimaahindano wachezaji wanakosa match fitness. Na pia kuna wachezaji wengi wametoka majeruhi ni ngumu sana mchezaji atoke majeruhi hakucheza mechi zaidi ya wiki tatu halafu aje apangwe kwenye derby hawezi perform. Hivyo hiyo mechi itasaidia wakina aucho na Feisali kuanza kupasha pasha
Hahahahaaa. Muulize huyu hapa. 👇Hivi nyie utopwinyo hivi mnajionaga kina nani kwani?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
MPAKA hurumaaa... Mechi na Geita gold daahHahahahaaa. Muulize huyu hapa. [emoji116]
View attachment 2189734
Kikubwa ushindi Mkuu.MPAKA hurumaaa... Mechi na Geita gold daah
Mjitahidi mfuzu ili muendelee kutupigia kelele. Mkitolewa mjue hamna mtakachokitambia msimu huu maana huenda makombe yote yakaenda jangwan mkabakia na Mapinduzi yenuKaribuni kwenye show za kikubwa kesho ....wanaume wakiitetea heshma ya nchi,sio nyinyi kazi kutudhalilisha tu mkichabangwa nje ndani hovyohovyo
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ilifanyaje?MPAKA hurumaaa... Mechi na Geita gold daah