Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaona. Nguvu akana kale aisee.Mkuu Umeona Kale Katoto Nkane Kalivyolegea [emoji23]
Kaze mpaka awe chini ya mtu ila peke yake hatoshi na ndio sababu hata ule msimu tulimtimua sababu ya uwezo wake kuwa mdogo.CEDRIC KAZE HAKUNA KOCHA HUMU
Daah [emoji21]Nimekaona. Nguvu akana kale aisee.
Yaani katukosesha bao la wazi kabisa. [emoji853]
Kameniudhi sana yaani. Ye badala atowe pasi ya mana ye anamdakisha Manula. 🙁Daah [emoji21]
Yani Kaniuzi, Angekuwa Nabi Angemuinua Makambo Mapema Kule Kwa Moloko Na Feisal Asingetoka, Wangekuwa Washambuliaji Wawili Kule Mbele Wangetengenez Pressure Nzuri Na Kwa Nafasi Za Nkane Alizorukaruka Kama Hajala Makambo Angetupa Ushindi WallahKaze mpaka awe chini ya mtu ila peke yake hatoshi na ndio sababu hata ule msimu tulimtimua sababu ya uwezo wake kuwa mdogo.
Haka Kajama Kama Ndo Hivi Msimu Ujao Arudi Tu Huko Biashara Au KMC SijuiKameniudhi sana yaani. Ye badala atowe pasi ya mana ye anamdakisha Manula. [emoji853]
Aka kanaweza zile mechi nyepesi nyepesu tu. 😀Yani Kaniuzi, Angekuwa Nabi Angemuinua Makambo Mapema Kule Kwa Moloko Na Feisal Asingetoka, Wangekuwa Washambuliaji Wawili Kule Mbele Wangetengenez Pressure Nzuri Na Kwa Nafasi Za Nkane Alizorukaruka Kama Hajala Makambo Angetupa Ushindi Wallah
Hamna wakape nafasi ila mechi za kiume kama hivi wasikapange.Haka Kajama Kama Ndo Hivi Msimu Ujao Arudi Tu Huko Biashara Au KMC Sijui
Yule kwa game za kimataifa aachwe.Mkuu Umeona Kale Katoto Nkane Kalivyolegea [emoji23]
Yule jamaa sijajua leo ilikuwa shida nini asiee. Mipira mingi alikuwa anaipoteza.Binafsi uchezaj wa ntibazokiza kwakwel jaman cjauelewa aisee
Kale kataleta aibu huko mbeleni. Sa sijui ndo udogo. 🤔Yule kwa game za kimataifa aachwe.
Umri Wa Kufanya Mambo Uwanjani Umeshamtupa MkonoYule jamaa sijajua leo ilikuwa shida nini asiee. Mipira mingi alikuwa anaipoteza.
Sema nini naonaga ana mechi na mechi ambazo anang'aa.
REPORT from ALLY MAYAI TEMBELESasa hasira unazitolea jukwaa letu kwani sisi ndo tumewatoa..?Yote kayataka Orlando haya,kama mnaweza jumamosi jitahidini mpate japo sare mpate kushangilia.
PropagandaREPORT from ALLY MAYAI TEMBELE
"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo
[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao
[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,
[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo
[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa
[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla
[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]
[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga
#JUMAHsports