Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG-20230130-WA0022.jpg
 
Hizi jersey zitaisha kabla ya muda uliotarajiwa, huyu Sheria Ngowi apewe heshima yake.
𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒌𝒆𝒔𝒉𝒐𝒌𝒆𝒔𝒉𝒐 𝒛𝒊𝒏𝒂𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒏𝒊 𝑳𝒊𝒎𝒊𝒕𝒆𝒅 𝑬𝒅𝒊𝒕𝒊𝒐𝒏
 
Wakuu hii issue ya SportPesa imekaaje?

Ndo kusema Uongozi ulifanya maamuzi bila kuafikiana au sijaelewa yanayoendelea?
 
Sheria Ngowi Kafanya Unyama Sana [emoji1487][emoji91][emoji91][emoji91][emoji172][emoji169]
Hii ndo inaonyesha kwamba Watanzania tukipewa nafasi tunaweza pia.

Mi namkubali zaidi anapozifafanua kile alichokiweka kwenye hizo jezi sio wale wengine wanatengeneza jezi kulingana na rangi ya chupa za energy. 😂😂
 
Back
Top Bottom