Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20230204_161303_Instagram.jpg
 
Kuna kazi anatakiwa alifanyie kazi ni moja ya tatizo kubwa la Yanga katika msimu hiu na ni moja ya sababu iliyosababisha kutolewa na Al Hilal. Timu inaposhambulia, kunakuwa na idadi ndogo sana ya wachezaji wa Yanga dhidi ya wachezaji wa timu pinzani. Na pia timu inategemea mawinga ila hatuna winga wa maana zaidi ya chizi fresh wetu Morrison
 
Back
Top Bottom