Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sasa wewe mechi moja tu unaanza kutoa povu la Nabi, mechi tuliishika sema mistake zipo kwenye soka, set pieces timu huwa zina train kufunga goli za hivyo, na kama hujajipanga au kufanya mazoezi ya kuzuia madhara ya set pieces ujue umekwisha hata kama una wachezaji warefu kuliko Goliathi. Now tukubali tumefungwa zen tujipange kwa mechi ijayo mzee.
Ebu tulia,fuatilia wachezaji waliojiunga na ubora walikotoka, wachezaji aliowaacha na wanakoenda performance zao.matokeo ya YANGA kwenye NBC PL Ni ushindi usioelweka.Yanga Ina wachezaji Bora Sana na waliothibitisha ubora wao.hata pale wanapoachwa.Movement za Aziz Ki hazina support.kupoteza sawa atafute solution kwa tatizo la kila siku kwenye ulishwaji washambuliaji.narudi tatizo la Kisinda na Moloko na hasa Kisinda linaeleweka kwa klia mfuatliaji. Ni mkopo angerudishwa tukaendelea Yaccuba .Mara zote wakianza Ni tatizo kwa klabu hawazuii hawashambulii,hawatoi pass kwa washambuliaji au viungo washambuliaji Ni square pass tu.Ni ovyo kabisa.kisinda mwache na golikipa nje.Hapana.
Kimataifa inabidi tuangalie Uwezo kocha kuwatumia wachezaji sahihi ,ana kila kitu kocha yoyote angependa kuwa nacho.apewe mechi za kirafiki za kimataifa tutambue uwezo wake kuwatumia wachezaji.
 
Huwa nachukizwa sana na mashabiki design yako kwamba kocha akifanya vzr mnashangilia lkn akifanya vby mechi moja mnaanza kuhoji uwezo wake huo si uungwana, ni kweli hata mm sifurahishwi na uwezo wa Kisinda wala moloko ni wachezaji wa kawaida sn but hiyo haitoshi kuhoji uwezo wa kocha aliyetujenga mpk tunaeleweka tunachocheza, unajua kwa timu kama Yanga iliyokuwa inabutua butua miaka nenda rudi mpk ss inamiliki mpira ndani ya ardhi ya waarabu sio kazi ndogo.

Kilichobaki ni kumpa muda afanyie kazi hizo nafasi hasa za wings mana hao wacongo wa pembeni huko ni hovyo sn, tusajiri hizo nafasi mana huwezi kumlaumu kocha wkt hatujasajiri back up ya hizo nafasi, hao waondoke tulete watu wenye uwezo, atleast namba 11 yupo morisson lkn tatizo la morisson linajulikana baada ya kutulia kucheza mpira yeye anatanga tanga tu, but namba 7 wa kueleweka hatuna kabisa kwa muda mrefu sasa, by the way mpira wa kiafrika unajulikana kila mtu ashinde kwake.
 
We jamaa bhn eti ushindi usioeleweka, mbn mnakosa shukran, timu kwa misimu miwili mfululizo imefungwa mechi moja na inaongoza ligi kwa kwa muda mrefu sana ulitaka tuwe tunashinda 10 kila mechi? Argument zako ni nyepesi sana mkuu na usidhani NBC ni ligi nyepesi hivyo, ligi ya tano kwa ubora Africa huwezi kutegemea kufunga mtu goli unazotaka wewe, pia usisahau Yanga imefungwa na timu inayotoka ligi bora kuliko yetu na ndiyo wanaoongoza kule hilo ulitambue kwanza.
 
Shida mnajikweza kuliko uwezo wenu. Na mashabiki wa uto walivo mbulula wanaamini kila upumbavu wanaosema wachambuzi uchwara na viongozi wao
 
Huwa nachukizwa sana na mashabiki design yako kwamba kocha akifanya vzr mnashangilia lkn akifanya vby mechi moja mnaanza kuhoji uwezo wake huo si uungwana, ni kweli hata mm sifurahishwi na uwezo wa Kisinda wala moloko ni wachezaji wa kawaida sn but hiyo haitoshi kuhoji uwezo wa kocha aliyetujenga mpk tunaeleweka tunachocheza, unajua kwa timu kama Yanga iliyokuwa inabutua butua miaka nenda rudi mpk ss inamiliki mpira ndani ya ardhi ya waarabu sio kazi ndogo.

Kilichobaki ni kumpa muda afanyie kazi hizo nafasi hasa za wings mana hao wacongo wa pembeni huko ni hovyo sn, tusajiri hizo nafasi mana huwezi kumlaumu kocha wkt hatujasajiri back up ya hizo nafasi, hao waondoke tulete watu wenye uwezo, atleast namba 11 yupo morisson lkn tatizo la morisson linajulikana baada ya kutulia kucheza mpira yeye anatanga tanga tu, but namba 7 wa kueleweka hatuna kabisa kwa muda mrefu sasa, by the way mpira wa kiafrika unajulikana kila mtu ashinde kwake.
Nakukumbasha kabla ya uwekezaji mkubwa GSM Yanga bado ilikuwa inatoa ushindani wa kutosha .uwekezaji chini ya GSM katika uongozi Bora wa engineer Hersi Said umenunua wachezaji Bora sana.na kocha alikuwa na nafasi kumwacha Kisinda dirisha dogo kwani yupo kwa mkopo amekumbatia mchezaji ambaye kila mwanaYanga anafahamu Ni ovyo.anaanzaje?tunamlaumu kocha kwa sababu ana kila kitu Cha kutupa matokeo zaidi ya tupatayo akiwatumia wachezaji wetu bora.futilia ushindi wetu Ni Kama juhudi binafsi au bahatisha.ni kwamba tuliachiwa kuchezea mpira bila mbinu za matokea hazina maana.ndio kule kule kwenye kuongoza kwa assist.wachezaji wasajiliwa inachukua muda mrefu kuingia kwenye mfumo,Ni Kama matumizi yasiyofaa ya fedha.kumchezesha Kisinda Ni Bora Clement na tulishashuhudia kwanini yeye haoni.
Nami na siwapendi mashabiki/wanachama waopenda tu bila kukosoa kwa ukweli,utadhani Ni mwajiriwa faida yetu sisi Ni furaha.
Heshima kwa engineer Hersi na uongozi mnafanya kila kitu tunaona.
 
Yanga kabla ya Nabi mara ya mwisho imeingia makundi ya kombe lolote lini? Unajua washabiki wa design yenu ndio mnafanya tukose maendeleo kwenye soka, huwa mnataka kusajili leo alafu kesho mfanikiwe, hiyo haiwezekani. Huwa mnataka kocha ashinde kila mechi, haiwezekani narudia haiwezekani, timu imechukua ligi na mpk ss inaongoza ligi kwa tofauti nyingi tu lkn pia huyo Kisinda unayesema ni wa hovyo ndio alikuwa anatubeba kipindi kile umesahau?

Acheni hayo mambo bhn, huwa mnaharibu sn ari ya timu nyie watu, mkifungwa mechi moja mnaanza kelele za kocha hafai mara cjui nn matokeo yake tunakuwa tunabadilisha kocha kila siku na maendeleo hayaonekani, narudia tena Yanga imefungwa na timu inayotoka ligi bora kuliko yetu, nyie mashabiki maandazi tuachieni hii timu sisi wavumilivu, na kwa bahati nzuri tu ni kwamba Engineer ni mtu muelewaa sn hawezi kuwasikiliza nyie wala mihogo.
 
Mtabishana hapa hadi kesho!

Tulizidiwa jana kwa game plan, haya mashindano ya kimataifa hayataki mambo mengi mnoo.

Ni mipango na mbinu ya mechi husika kutokana unacheza na mpinzani wa aina gani?

Kama jana wapinzani wetu walikuwa na viumbe wako hewani alafu unakuja muanzisha job,kibwana kweli, wangeweza pambania vipi mipira ya juu?? (Na goli zote mbili zimefungwa from a set piece)

Tulimhitaji mtu mwenye kimo pale kwenye saafu ya mabeki.

Mamadou kasajiliwa kukaa benchi??? “Wakati tuliambiwa amekuja kwa ajili ya kimataifa kuongeza ufanisi kwenye saafu ya mabeki”.

Bakari,mamadou na Bacca ningependelea kuwaona hawa watatu wakitengeneza kuta ngumu sana.

Sogeza Bangala kiungo pale (6), na jana yeye ndiye alipiga pasi mingi kuliko mchezaji yeyote.

Mutambala anaweza tumika kama LW
 
Kocha makini huwa hana mihemko ya kumuanzisha mchezaji ili mradi, huyo Doumbia muda wake ukifika atacheza, jana tumefungwa kwa makosa ya kimchezo, hata man u, man city, Barca, Madrid huwa zinafungwa kwa style ile, hakuna haja ya kuanza kumtafuta mchawi, tukubali tumefungwa ugenini tusonge mbele, kinachotakiwa nyumbani tusipoteze. Lkn hata tukipoteza hamna shida, tumpe kocha muda coz direction inaonekana. Huyu kocha akikaa miaka mitano Yanga lazima ichukue moja kati ya makombe makubwa Africa.
 
Umeelewa lakini nilichokiandika??
 
Maviiii
 
Yanga hamtoshiriki SUPERLEAGUE mpaka muwe na akili timamu
[emoji23][emoji23][emoji23]
1675097028944.jpg
 
Back
Top Bottom