Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na si ajabu wanaomba hiyo april isifike 🤣🤣Huu sasa ndio utakua wakati sahihi mtani kufa kwenye ligi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na si ajabu wanaomba hiyo april isifike 🤣🤣Huu sasa ndio utakua wakati sahihi mtani kufa kwenye ligi.
Yan waombe tu maana sasa hivi hakuna namna ataachwa salama kwa timu yake ile.Na si ajabu wanaomba hiyo april isifike [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Yan waombe tu maana sasa hivi hakuna namna ataachwa salama kwa timu yake ile.
Full house, Full shangwe ni leo Lupaso.Hatimaye ile siku imewadia. Tunachohitaji ni points tatu pekee na si vinginevyo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hakika Hakika. Na tunaweza. 💪💪💪Full house, Full shangwe ni leo Lupaso.
Come On Wananchiiii[emoji123][emoji123]
Tawile mganga.Yanga leo watafungwa, wnaobet hili mkalitizame
Hakika my dear. 🔰🔰Kila la kheri Yanga, tunaombea matokeo yakawe ya furaha na faraja.
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Waarabu Koko wanaumwa huko waliko. 🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga ileeeeeeeee🔊🔊🔊🔊
Fanchezo neneeee🤣🤣🤣
WamelowaaaaaaaaWaarabu Koko wanaumwa huko waliko. 🤣🤣