ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
SimbaSasa Man Utd na Chelsea ipi ni saa mbovu.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimbaSasa Man Utd na Chelsea ipi ni saa mbovu.?
Akiingia hilo chaka itakuwa siyo.Please, please Eng. Hersi Said,usikubari kuingia kwenye siasa..bado tunakuhitaji sana Young Africans.
Siasa za Tanzania ni mbaya.,zitakupotezea focus yako katika maisha na mipango yako.
Mambo ni mengi Mkuu.Mbona ukimya umetawala humu[emoji23]
Tushaanza kuheshimiana[emoji23]
Ngoja tuone itakuaje, ila Guede alianza kuonesha ishara nzuri kwenye kikosi cha Yanga kwa takwimu.Nasikia Guede out, Baleke in , hii itakua mistake nyingine kama tuliyo fanya kumuacha Moloko tukachukua Okra
Duuh! Hata na mie nimeisikia hiyo kwamba ameshaachwa. 😔Nasikia Guede out, Baleke in , hii itakua mistake nyingine kama tuliyo fanya kumuacha Moloko tukachukua Okra
Hakika Mkuu mana hizi zinakuaga kama kamari saa ingine.Ngoja tuone itakuaje, ila Guede alianza kuonesha ishara nzuri kwenye kikosi cha Yanga kwa takwimu.
Huyu hua hana huruma na makolo ni kuwachochea kuni tuTimu ya Wananchi tumeshusha Chuma kingine.
View attachment 3035423
😂😂 Hivi sisi na wao lini?Huyu hua hana huruma na makolo ni kuwachochea kuni tu