Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha

Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+

Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho timu hazijulikani mpaka msaada wa google, timu inaitwa Constantine 😆
Watani wamekata tamaa
Wanatoa Taifa aibu
Simba tunaomba mjitoe kwenye mashindano ya UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Sasa tunataraji vilio na lawama zao zitaanza Leo
GSM atalaumiwa, waamuzi watalaumiwa, Mangungu n.k

Yanga tulifungwa mara 3 ila wazee wa Yanga hawakutoa tamko kama wa kule ukoloni aka umbumbumbuni

Yanga tulifungwa mara 3 ila hatukuita wachezaji maduka

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu viongozi

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu mkuu wa mkoa

Young Africans ndo timu ya wananchi na timu ya mpira, Simba ni timu ya mkoloni ndo maana imejaa mbumbumbu( kama alivosema Rage)

Yanga bingwa
 
Unateseka ukiwa umechutama kwenye choo gani?

1.Cha shimo
2.cha sinki
3.cha kukaa

Au upo porini unakata go - go?

Usisahau Majani mabichi ya kuchambiah!

Alamsiki Utopia!

😁😁😁
Mbumbumbu una hasira?
 
FB_IMG_17327318648528455.jpg
FB_IMG_17328216798305267.jpg
 
Hasira za nini we bwana aah🎵🎶
Wataka kuniua bure bwana aah🎶🎵
Yanga si yako, nami si yangu 🎵🎶

Chuki ya nini Kati yangu mimi na chura 🎶🎵

Nasema.............,🎵🎶
😁😁
Kolo umevurugwa
 
Back
Top Bottom