Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha

Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+

Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho timu hazijulikani mpaka msaada wa google, timu inaitwa Constantine 😆
Watani wamekata tamaa
Wanatoa Taifa aibu
Simba tunaomba mjitoe kwenye mashindano ya UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Sasa tunataraji vilio na lawama zao zitaanza Leo
GSM atalaumiwa, waamuzi watalaumiwa, Mangungu n.k

Yanga tulifungwa mara 3 ila wazee wa Yanga hawakutoa tamko kama wa kule ukoloni aka umbumbumbuni

Yanga tulifungwa mara 3 ila hatukuita wachezaji maduka

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu viongozi

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu mkuu wa mkoa

Young Africans ndo timu ya wananchi na timu ya mpira, Simba ni timu ya mkoloni ndo maana imejaa mbumbumbu( kama alivosema Rage)

Yanga bingwa
Leo mkijitahidi sare hamna kitu hapo
 
Utopolo mmefyatuka akili tangu mfungwe mara 3 mfululizo,leo tuko pale Mgunda anasimamia show mkijitahidi mtaambulia draw
Yanga amemfunga Simba mara nne mfululizo
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.3.Magonwa na Maradhi
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
5 AJIRA
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Utopolo mmefyatuka akili tangu mfungwe mara 3 mfululizo,leo tuko pale Mgunda anasimamia show mkijitahidi mtaambulia draw
😂Sijui wataweka wapi sura zao. Leo Kuna pira gusa achia tukafungwe kwetu.

Kombe la Kina mama ambalo alikuwa analiota kulileta TZ.
Yajayo yanafurahisha.
 
Yanga amemfunga Simba mara nne mfululizo
Hata ingekua mara 70 Elfu we don't care!
Endeleeni kuteseka
Sisi ndio Simba mnyama akikosa nyama anakula nyasi
kwetu Furaha hailetwi na matokeo uwanjani bali hua tunatengeneza Furaha zetu binafsi Ili kuendeleza burudani
Nyie vyura maji yakikauka tu mwafa jangwani Oasis!
😁😁
 
Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha

Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+

Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho timu hazijulikani mpaka msaada wa google, timu inaitwa Constantine 😆
Watani wamekata tamaa
Wanatoa Taifa aibu
Simba tunaomba mjitoe kwenye mashindano ya UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Sasa tunataraji vilio na lawama zao zitaanza Leo
GSM atalaumiwa, waamuzi watalaumiwa, Mangungu n.k

Yanga tulifungwa mara 3 ila wazee wa Yanga hawakutoa tamko kama wa kule ukoloni aka umbumbumbuni

Yanga tulifungwa mara 3 ila hatukuita wachezaji maduka

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu viongozi

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu mkuu wa mkoa

Young Africans ndo timu ya wananchi na timu ya mpira, Simba ni timu ya mkoloni ndo maana imejaa mbumbumbu( kama alivosema Rage)

Yanga bingwa
Mgunda anajipigia leo 😀😀😀😀
 
Basi tukubali kauli ya Rage aliyewaita mbumbumbu
 
We labda kwenu hakuna network ...kuna jamaa wenu shabiki maarufu jina limenitoka ..kama unamfahamu yule aliyekuwa tiyari kumpa kinyeo mayele ...kuna clip anawashushia lawama viongozi ikiwemo waziri wa michezo na naibu waziri wa michezo😂
 
Back
Top Bottom