Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha

Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+

Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho timu hazijulikani mpaka msaada wa google, timu inaitwa Constantine 😆
Watani wamekata tamaa
Wanatoa Taifa aibu
Simba tunaomba mjitoe kwenye mashindano ya UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Sasa tunataraji vilio na lawama zao zitaanza Leo
GSM atalaumiwa, waamuzi watalaumiwa, Mangungu n.k

Yanga tulifungwa mara 3 ila wazee wa Yanga hawakutoa tamko kama wa kule ukoloni aka umbumbumbuni

Yanga tulifungwa mara 3 ila hatukuita wachezaji maduka

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu viongozi

Yanga tulifungwa mara 3 hatukulaumu mkuu wa mkoa

Young Africans ndo timu ya wananchi na timu ya mpira, Simba ni timu ya mkoloni ndo maana imejaa mbumbumbu( kama alivosema Rage)

Yanga bingwa
Yanga Bingwa.
 
Back
Top Bottom