Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

We labda kwenu hakuna network ...kuna jamaa wenu shabiki maarufu jina limenitoka ..kama unamfahamu yule aliyekuwa tiyari kumpa kinyeo mayele ...kuna clip anawashushia lawama viongozi ikiwemo waziri wa michezo na naibu waziri wa michezo😂
 
Mzee mwenzangu usije ukaacha nikaenda kuchekea chooni kama Manara😂
 
Yanga akawa Bingwa
Yanga anacheza CAFCL
5imba wanacheza mashindano ya akina mama
Unaeleza kuhusu mambo ya vikongwe?Tangu mfungwe na Tobhorwa United mmechukua ubingwa upi?
NB;Ibenge anawasabahi.Anasema "Ndenge nini bana churaa"?
 
We labda kwenu hakuna network ...kuna jamaa wenu shabiki maarufu jina limenitoka ..kama unamfahamu yule aliyekuwa tiyari kumpa kinyeo mayele ...kuna clip anawashushia lawama viongozi ikiwemo waziri wa michezo na naibu waziri wa michezo😂
Uzushi huo
 
Goal 5 naona akili yako iligoma kukaa sawa Toka hilo tukio likupate
Aliyefungwa sita atakuwaje?Tabora Utd na Papaa Ibenge anawapigia salamu mingimingi sana/pomoni bana Yangwani.Muikale ya bien na ya musuri!🤣🤣🤣🤣
 
Mwanaume ulihama nyumba yako kisa mapito naona umerudi kwa kasi baada ya kujihakikishia ushindi wa gsm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…