mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ule mkwara wa kwenda CAS ,simba ishushwe daraja,TFf ifutwe na morson asicheze ulikuwa danganya Toto?Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba
Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba
Wafute point za Simba kwani Simba ndo wanatoa leseni ya mchezaji?Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba
Wafute point za Simba kwani Simba ndo wanatoa leseni ya mchezaji?
sasa mkataba wa Simba na Morrison kuwa na mapungufu Yanga unawahusu niniKipindi kile walisema mkataba wa morison na yanga ulikuwa hauna mapungufu, leo wamasema kama mkataba kati ya yanga na morison ulikuwa na mapungufu basi mkataba wa simba na morison pia una mapungufu
Wafute point za simba kwa lipi wakati kesi mliwapelekea wao tff na maamuzi yametoka. Sie tunaka kusikia majibu ya Cas kwa kuwa mliwatangazie wanachama wenu kuwa mnaenda huko hamjaridhika na hukumu iliyotolewa na tff, cha kushangaza eti Leo mmerudi tena tff😅Mwakalebela yuko sahihi kwenda tff coz ndo wana uwezo kisheria kufuta points za simba