Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Maamuzi ya TFF kuhusu mkataba wa Yanga na Morrison ilikuwaje?sasa mkataba wa Simba na Morrison kuwa na mapungufu Yanga unawahusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi ya TFF kuhusu mkataba wa Yanga na Morrison ilikuwaje?sasa mkataba wa Simba na Morrison kuwa na mapungufu Yanga unawahusu nini
Kwani nani kakwambia Morrison anatakiwa kurudi Yanga?Sheria lazima ichukue mkondo wake hapa,hakuna kuoneana huruma wala aibu.Wangefuata ushauri wa Kikwete wa kuachana na Morrison. Hata kama usajili ni batili itawasaidia nini Yanga? Morrison hatorudi Yanga, na yaonekana anafuraha kuwa Simba. Na hata ukiwa batili, Simba hawamuhitaji kivile kwani wachezaji wa kumpita Morrison wako wengi Simba. Na ndio maana anaanzia bench.
Be careful what you wish for. Asije kuwapiga ha trick tarehe 18, October kwa hasira.
aliyekuwa hatambui mkataba (kutokana na mapungufu yake) ni mchezaji sio Simba Sc,Simba ilikuwa ikisemwa kwa sababu ilikuwa na interest na mchezaji.Maamuzi ya TFF kuhusu mkataba wa Yanga na Morrison ilikuwaje?
Na TFF ikaamua nini?aliyekuwa hatambui mkataba (kutokana na mapungufu yake) ni mchezaji sio Simba Sc,Simba ilikuwa ikisemwa kwa sababu ilikuwa na interest na mchezaji.
Waambieni viongozi wenu waache kupoteza muda kwa mambo ya kijinga watengeneze timu bora.Yanga wana interest na mgogoro wa Morrison kwakua uyo mchezaji wali porwa kwa nguvu na Tff kwa maslai ya friends of Simba, na kipengele kilichotumika kuwa pora Yanga uyo mchezaji ni mapungufu ya mkataba na moja ya mapungufu waliyo ainisha kwenye hukumu ya uporaji ni kuto onekana sahihi za viongozi wa Yanga.
Sasa mkataba ambao Morrison amesaini na Simba unaonekana unamapungufu kama alio saini na Yanga.
Kwa ujumla timu yoyote inaweza kulalamikia swala la Morrison kwakua liana angukia kwenye usajili ambao unamapungufu na adhabu za caf ni kunyanga'nywa ushindi katika mechi zote mchezaji alizo cheza au kukaa bench.
Tff mmeshakula fedha ya akina Hanspop, Magori n.k mnakazi ya kuzirudisha au mzidi kuharibu kazi.
Yaani anafanya Yanga ionekane inaongozwa na watu wanaojua kusoma na kuandika tu,Najiuliza km Mkataba una mapungufu ni Mkataba upi? Simba vs Morrison au Yanga vs Morrison ? Km Mkataba ni kati ya Simba vs Morrison una mapungufu Je Morrison kaenda kulalamika ? Km hajaenda kulalamika Yanga wanaenda tff kulalamika kwa niaba ya Morrison? Wangekuja kutuambia CAS AU FIFA majibu yakoje?Mwakalebela na kundi lao miezi mitatu iliopita walituambia tunaenda "CAS" kuhakikisha kuwa Morrison anarudishwa yanga.Chaajabu Leo wamerudi Tff tena.
Hivi Leo mwakalebela amesahau njia ya kwenda CAS?
Hivi amesahau shutuma za msola na Bumbuli kuwa Tff imejaa wanasimba tuu?
Akisha nyang'anywa anapewa Yanga haya piga makofi..Simba waliwahi kupewa ushindi na Caf dhidi ya Tp Mazembe kwakua walimchezesha mchezaji ambaye usajiliwake ulikua una utata. Yanga wanakwenda kulalamikia kwakua mchezaji anacheza ligi ya Tanzania, Simba imenufaika kupata ushindi katika mechi zote alizocheza Morrison ambaye anamapungufu katika usajili inabidi point izo simba wanyang'anywe.
Kwani nani kakwambia Morrison anatakiwa kurudi Yanga?Sheria lazima ichukue mkondo wake hapa,hakuna kuoneana huruma wala aibu.
Simba hawezi fanywa chochote viongozi wenu wana watia moyo ili mzidishe upendo kwao,,kwa mala nyingine mnaenda kuumbuka na sasa ivi inabdi mpewe kibano sawa sawa ili akili zikae sawaSimba waliwahi kupewa ushindi na Caf dhidi ya Tp Mazembe kwakua walimchezesha mchezaji ambaye usajiliwake ulikua una utata. Yanga wanakwenda kulalamikia kwakua mchezaji anacheza ligi ya Tanzania, Simba imenufaika kupata ushindi katika mechi zote alizocheza Morrison ambaye anamapungufu katika usajili inabidi point izo simba wanyang'anywe.
That is not Simba's problem.Na uhamiaji ilitoaje kibali bila kuona mkataba halisi?
Wanaelewa basi? Timu yao bado inasuasua wao Kazi kupiga siasa tu...na Simba wakitaka kuivuruga Yanga kwa miaka mifano ijayo ni kuhakikisha wanaifunga msimu huu na kuchukua vikombe pia kuhakikisha Yanga habebi kombe lolote...hapo lazima wavurugane kwa kipindi kisichojulikana.Sheria ipi unayoijua?
Suala la mapungufu ya mkataba ni la kawaida iwapo mmoja wao kati ya pande zilizokubaliana katika mkataba hajalalamika.
Yanga walivyo mbumbumbu,wanaamini kesi ya mapungufu ya mkataba ilikula kwao kwa sababu ni kosa kuwa na mapungufu..ila ukweli ni kwamba, mchezaji alitumia mapungufu hayeo kuukana mkataba,na kwamba kuna baadhi ya sehemu zilionekana kufutwa futwa na kusainiwa upya.Hii unaweza kuita dalili za kughushi.Nayo ni mapungufu.
Iwapo mchezaji asingelalamika,hakuna mtu aliyekuwa na haki ya kulalamikia hilo zaidi ya mchezaji
Kweli nyani ni nyani
Kibali cha kazi hakiingii kwenye mpira, ni document ya serikali. Yanga waliambiwa wapeleke kibali cha zamani ili atengenezewe kipya. Kama waliendelea kugoma kupeleka, Uhamiaji wanatengeneza kibali kingine na kile cha mwanzo kinakuwa regarded as kimepotea, very simpleNa uhamiaji ilitoaje kibali bila kuona mkataba halisi?
Yanga wamekwenda Tff waki rejea hukumu ya ku polwa mchezaji kwa kisingizio cha mapungufu ya mkataba na kupewa simba. Wakati ata uko Simba viongozi hawajasaini izo nyaraka za mkataba wa Morrison. kosa kama ilo lili pelekea mkataba uonekane na mapungufu akiwa Yanga.Sheria ipi unayoijua?
Suala la mapungufu ya mkataba ni la kawaida iwapo mmoja wao kati ya pande zilizokubaliana katika mkataba hajalalamika.
Yanga walivyo mbumbumbu,wanaamini kesi ya mapungufu ya mkataba ilikula kwao kwa sababu ni kosa kuwa na mapungufu..ila ukweli ni kwamba, mchezaji alitumia mapungufu hayeo kuukana mkataba,na kwamba kuna baadhi ya sehemu zilionekana kufutwa futwa na kusainiwa upya.Hii unaweza kuita dalili za kughushi.Nayo ni mapungufu.
Iwapo mchezaji asingelalamika,hakuna mtu aliyekuwa na haki ya kulalamikia hilo zaidi ya mchezaji
Kweli nyani ni nyani
Morrison atakuwa mchezaji huru, atasaini tena Simba. Simba haitanyang'anywa point, maana hata Yanga haikunyang'anywa pointYanga wamekwenda Tff waki rejea hukumu ya ku polwa mchezaji kwa kisingizio cha mapungufu ya mkataba na kupewa simba. Wakati ata uko Simba viongozi hawajasaini izo nyaraka za mkataba wa Morrison. kosa kama ilo lili pelekea mkataba uonekane na mapungufu akiwa Yanga.
Kibali cha kazi hakiingii kwenye mpira, ni document ya serikali. Yanga waliambiwa wapeleke kibali cha zamani ili atengenezewe kipya. Kama waliendelea kugoma kupeleka, Uhamiaji wanatengeneza kibali kingine na kile cha mwanzo kinakuwa regarded as kimepotea, very simple