Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ndio maana washabiki na viongozi wa Yanga bado wana hasira za kuporwa Morrison.
Tulifikiri jambo hili lishaisha.
Washabiki wa Simba msiende kukaa walipo washabiki wa Yanga Mpirani watakupigeni.
Bado wana hasira sana.
Ila anapoporwa mchezaji wa Simba mambo yanakuwa shwari.
Na washabiki wa Simba wanapotezea tu.
Jamani tuwarudidhie Morrison wao japo wapate usingizi.
Kwani inaonekana akina Kalinyo, Kisinda na Sapongo bado hawajawakata kiu.
Mkuki ni kwa Nguruwe.