kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Huyu huyu Mwakalebela alisema usajiri wa chama kwenda Yanga umekamilika baadaye akaomba msamaha kwa upotoshaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luc hakukosea kuwaita manyani? Issue ya mkataba inahusu pande mbili, ni Morison na Simba na hizo pande mbili hakuna sehemu kati ya hizo pande mbili zimelalamika kuhusu mkataba.Yanga wana interest na mgogoro wa Morrison kwakua uyo mchezaji wali porwa kwa nguvu na Tff kwa maslai ya friends of Simba, na kipengele kilichotumika kuwa pora Yanga uyo mchezaji ni mapungufu ya mkataba na moja ya mapungufu waliyo ainisha kwenye hukumu ya uporaji ni kuto onekana sahihi za viongozi wa Yanga.
Sasa mkataba ambao Morrison amesaini na Simba unaonekana unamapungufu kama alio saini na Yanga.
Kwa ujumla timu yoyote inaweza kulalamikia swala la Morrison kwakua liana angukia kwenye usajili ambao unamapungufu na adhabu za caf ni kunyanga'nywa ushindi katika mechi zote mchezaji alizo cheza au kukaa bench.
Tff mmeshakula fedha ya akina Hanspop, Magori n.k mnakazi ya kuzirudisha au mzidi kuharibu kazi.
Shida ya kukopi na kupaste, Malalamiko ya simba dhidi ya mchezaji wa TP mazembe ni tofauti na la Yanga, Ebu ifuatilie vizuri ile kesi sio kuleta mifano isiyofananaSimba waliwahi kupewa ushindi na Caf dhidi ya Tp Mazembe kwakua walimchezesha mchezaji ambaye usajiliwake ulikua una utata. Yanga wanakwenda kulalamikia kwakua mchezaji anacheza ligi ya Tanzania, Simba imenufaika kupata ushindi katika mechi zote alizocheza Morrison ambaye anamapungufu katika usajili inabidi point izo simba wanyang'anywe.
Yaani nikajua akili unazo, Kweli we ni Utopolo halisi, kwani umemsikia Morison analalamika kua Simba hawajamlipa ada ya uhamishoSimba inatakiwa walipe ada ya usajili wa Morison Kama wataendelea kupewa kiburi na Tff mwisho wake utakua mbaya ata Tff watashindwa kuwaokoa.
Wamegundua kwamba wale wachezaji waliowasajiri hakuna mwenye uwezo kama wa Morrison, na hivyo wanamiss uwepo wa Morrison. La sivyo wasingekomaa naye namna hiyo.Kama mchezaji kaondoka, anawapiga vijembe Instagram, mnamng'ang'ania wa nini
Morrison amecheza ligi ya ndani, na sio CAF club championship, kanuni za TFF zinahusika hapa, kulikuwa na muda wa pingamizi ambao ulipita kitambo, Yanga walipeleka pingamizi kuhusu Morrison na lilitupwa, hakuna nafasi ya pingamizi jipyaSimba waliwahi kupewa ushindi na Caf dhidi ya Tp Mazembe kwakua walimchezesha mchezaji ambaye usajiliwake ulikua una utata. Yanga wanakwenda kulalamikia kwakua mchezaji anacheza ligi ya Tanzania, Simba imenufaika kupata ushindi katika mechi zote alizocheza Morrison ambaye anamapungufu katika usajili inabidi point izo simba wanyang'anywe.