Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Yanga ni part ya mkataba wa simba na morison??Yanga wamekwenda Tff waki rejea hukumu ya ku polwa mchezaji kwa kisingizio cha mapungufu ya mkataba na kupewa simba. Wakati ata uko Simba viongozi hawajasaini izo nyaraka za mkataba wa Morrison. kosa kama ilo lili pelekea mkataba uonekane na mapungufu akiwa Yanga.
Labda wanataka Morrison awe mchezaji huru ili wamsajili! 😁Yanga ni part ya mkataba wa simba na morison??
Yanga wanarejea hukumu iliyo tolewa na Tff ambayo ili wa athiri kwa kunyang'anywa mchezaji ki huni, kwakutumia ile hukumu outomatically Yanga anaingia kama third-party.Labda wanataka Morrison awe mchezaji huru ili wamsajili! [emoji16]
Yanga wanarejea hukumu iliyo tolewa na Tff ambayo ili wa athiri kwa kunyang'anywa mchezaji ki huni, kwakutumia ile hukumu outomatically Yanga anaingia kama third-party.
Kwenye mpira wa kisasa mwenye mchezaji ndie anaye amu amu uzie nani, wewe ukishasajiliwa na kulipwa stahikizako unakua mtumwa unaweza ukauzwa, ukapelekwa kwamkopo, uka kaa kwenye benchi inategemea mwajili anatakanini. Mfano hai ni Samata Yuko kwa mkopo uturuki.Mchezaji ni bidhaa katika soka la sasa, Mwangalie Sancho na Man u, Sancho na Man u inaonekana walishaelewana Ila Dortmund hawako tayari.Ndio maana mmeitwa nyani!
TFF haikuwanyang'anya Yanga Morrison,ila ilimpa haki yake ya kuchagua timu aitakayo.
Sasa hata kama TFF itaamua malalamiko ya Yanga,itampa nani haki kwenye shauri hili?
Basi tuseme iwape haki Yanga au timu yoyote ya kumsajili Morrison,unadhani Morrison bidhaa unaisajili tu bila ridhaa?
Ni lazima utahitaji ridhaa yake.
Kweli nyani ni nyani
Unadai kuwa mapungufu ya kwenye mkataba na Simba ndo' yale yaliyokua kwenye mkataba na Yanga..halafu unasema adhabu ni kupokwa points, Morrison alicheza game ngapi msimu uliopita? Mlipokwa points?! Ni kuwapendelea sana kusema utopolo hamna akili, ninyi hata ubongo hakunaYanga wana interest na mgogoro wa Morrison kwakua uyo mchezaji wali porwa kwa nguvu na Tff kwa maslai ya friends of Simba, na kipengele kilichotumika kuwa pora Yanga uyo mchezaji ni mapungufu ya mkataba na moja ya mapungufu waliyo ainisha kwenye hukumu ya uporaji ni kuto onekana sahihi za viongozi wa Yanga.
Sasa mkataba ambao Morrison amesaini na Simba unaonekana unamapungufu kama alio saini na Yanga.
Kwa ujumla timu yoyote inaweza kulalamikia swala la Morrison kwakua liana angukia kwenye usajili ambao unamapungufu na adhabu za caf ni kunyanga'nywa ushindi katika mechi zote mchezaji alizo cheza au kukaa bench.
Tff mmeshakula fedha ya akina Hanspop, Magori n.k mnakazi ya kuzirudisha au mzidi kuharibu kazi.
Wanachotafuta yanga ni Simba atolewe point zote alizonazo wameona usajili wao umebuma.
Wanasahau wao hawakushushwa daraja walipofoji mkataba wa mchezaji.
Issue ya simba na mazemba nibtofauti. Timu alitotoka mchezaji ndiyo ililalamika kuwa mchezaji hakusajiliwa kihalali na wakawapa simba vielelezo.Yanga wana interest na mgogoro wa Morrison kwakua uyo mchezaji wali porwa kwa nguvu na Tff kwa maslai ya friends of Simba, na kipengele kilichotumika kuwa pora Yanga uyo mchezaji ni mapungufu ya mkataba na moja ya mapungufu waliyo ainisha kwenye hukumu ya uporaji ni kuto onekana sahihi za viongozi wa Yanga.
Sasa mkataba ambao Morrison amesaini na Simba unaonekana unamapungufu kama alio saini na Yanga.
Kwa ujumla timu yoyote inaweza kulalamikia swala la Morrison kwakua liana angukia kwenye usajili ambao unamapungufu na adhabu za caf ni kunyanga'nywa ushindi katika mechi zote mchezaji alizo cheza au kukaa bench.
Tff mmeshakula fedha ya akina Hanspop, Magori n.k mnakazi ya kuzirudisha au mzidi kuharibu kazi.
Kwenye mpira wa kisasa mwenye mchezaji ndie anaye amu amu uzie nani, wewe ukishasajiliwa na kulipwa stahikizako unakua mtumwa unaweza ukauzwa, ukapelekwa kwamkopo, uka kaa kwenye benchi inategemea mwajili anatakanini. Mfano hai ni Samata Yuko kwa mkopo uturuki.Mchezaji ni bidhaa katika soka la sasa, Mwangalie Sancho na Man u, Sancho na Man u inaonekana walishaelewana Ila Dortmund hawako tayari.
Baada ya hukumu,kabl Morison hajasajiliwa Simba alikuwa ni mchezaji wa Yanga?Kwenye mpira wa kisasa mwenye mchezaji ndie anaye amu amu uzie nani, wewe ukishasajiliwa na kulipwa stahikizako unakua mtumwa unaweza ukauzwa, ukapelekwa kwamkopo, uka kaa kwenye benchi inategemea mwajili anatakanini. Mfano hai ni Samata Yuko kwa mkopo uturuki.Mchezaji ni bidhaa katika soka la sasa, Mwangalie Sancho na Man u, Sancho na Man u inaonekana walishaelewana Ila Dortmund hawako tayari.
Hapo sasa!!Kipindi kile walisema mkataba wa morison na yanga ulikuwa hauna mapungufu, leo wamasema kama mkataba kati ya yanga na morison ulikuwa na mapungufu basi mkataba wa simba na morison pia una mapungufu
Simba imepewa leseni na TFF, hakuna adhabu hapo, sahau kabisa. Zamani kulikuwa na tatizo la kukatiana rufaa wakati ligi inaendelea. TFF (FAT wakati huo) wakaweka utaratibu wa kuresolve mambo yote kabla ligi haijaanza na kisha kutoa leseni, ikaondoa tatizo la rufaa wakati ligi inaendelea, kwamba kama kuna mgogoro uishe kwa timu/mchezaji kumalizana au timu/mchezaji kuadhibiwa. Ndio maana akina Ngasa walipewa leseni ila kwa condition ya kulipishwa faini na kuadhibiwa kwa kusaini sehemu mbili,kisha wakaendelea kucheza. Kama mchezaji alipewa leseni kwa makosa, hilo si tatizo la timu, ni la TFFCha msingi hoja isikilizwe, Mkataba wa Yanga na Morrison ulikua na dosari hivyo Morrison alikua huru na hakua mchezaji wa Yanga, mkataba wa Simba na Morrison kwa sasa una dosari hivyo Morrison yupo huru na Simba inapaswa kuadhibiwa kwa kumchezesha mchezaji ambaye hana mkataba.
Mkataba wa Yanga na Morison ulikugundukika una dosari baada ya morison kuishtaki Yanga TFF,sasa kweny hili la mkataba wa Simba na Morison,Yanga wanashtaki kama nani?Cha msingi hoja isikilizwe, Mkataba wa Yanga na Morrison ulikua na dosari hivyo Morrison alikua huru na hakua mchezaji wa Yanga, mkataba wa Simba na Morrison kwa sasa una dosari hivyo Morrison yupo huru na Simba inapaswa kuadhibiwa kwa kumchezesha mchezaji ambaye hana mkataba.