Young Africans "Tusikubali" Mwakalebela anatupotosha juu ya "sakata la morrison"

Luc hakukosea kuwaita manyani? Issue ya mkataba inahusu pande mbili, ni Morison na Simba na hizo pande mbili hakuna sehemu kati ya hizo pande mbili zimelalamika kuhusu mkataba.
Afu Utopolo mna kesi ya kuingia kwenye account ya usajili bila hidhini ya simba. Mmetoa wapi password ya account ya simba, ikiwa kwenye system ya usajili kila timu inapewa password yake na inaingia kwenye account yake tu. Afu mwakalebela kuonesha kua hajui hata anachokisema anaenda kusema eti mkataba wa simba na Morison ni public sio wa siri. Inamaana yeye mikataba walioingia na Wachezaji wanaiweka hadharani? kamwe mkataba haiwezi kua public
 
Shida ya kukopi na kupaste, Malalamiko ya simba dhidi ya mchezaji wa TP mazembe ni tofauti na la Yanga, Ebu ifuatilie vizuri ile kesi sio kuleta mifano isiyofanana
 
Simba inatakiwa walipe ada ya usajili wa Morison Kama wataendelea kupewa kiburi na Tff mwisho wake utakua mbaya ata Tff watashindwa kuwaokoa.
Yaani nikajua akili unazo, Kweli we ni Utopolo halisi, kwani umemsikia Morison analalamika kua Simba hawajamlipa ada ya uhamisho
 
Morrison amecheza ligi ya ndani, na sio CAF club championship, kanuni za TFF zinahusika hapa, kulikuwa na muda wa pingamizi ambao ulipita kitambo, Yanga walipeleka pingamizi kuhusu Morrison na lilitupwa, hakuna nafasi ya pingamizi jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…