Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Mlianza ligi vibaya acheni kumtupia lawama Kopunovic...

Aiseee.
Yani wivu sasa!!!!maana mechi yetu ya shy ni mpaka j3.
mbaya zaidi na msimu huu hatutapata nafasi ya kuiwakilisha nchi!!!
KOPUNOVIC must go nyambafu!!!
 
Muda uliobakia hautoshi hata kwa kuku kumeza punje ya mtama....
 
Dah, kwa hali hii na mpira uishe tu ila hata iweje tumeshasonga tayari.
 
Yanga wametulia wanafungua jamaa wamekata tamaa well done my team
 
Mpira umekwisha

Platinum 1 - 0 Yanga

Platinum 2 (Agg) 5 Yanga

Yanga wanaelekea hatua inayofuata ya Confederation Cup...

Kila la kheri Yanga kwa safari yenu ya kurejea nyumbani...
 
Asante Yanga kwa kuiwakilosha nchi kwa ushindi,hao wengine tuwaachie kombe la mtaji jembe.
 
Back
Top Bottom