Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Wanapaki basi mjomba
Kiukweli Yanga leo hawajapaki basi...Wanashambulia na kudefend...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapaki basi mjomba
Aiseee.
Yani wivu sasa!!!!maana mechi yetu ya shy ni mpaka j3.
mbaya zaidi na msimu huu hatutapata nafasi ya kuiwakilisha nchi!!!
KOPUNOVIC must go nyambafu!!!
Hiki kitimu ilikuwaje kikalambwa 5 Daslam? Nlitegemea na leo kachezee kichapo.Dk 90
Platinum 1 - 0 Yanga
Mpira nzuri lakin una presha sana
nifah, Bantu lady, Matale Masuke na wengineo njooni tusaidiane nakufa na presha huku
Hiki kitimu ilikuwaje kikalambwa 5 Daslam? Nlitegemea na leo kachezee kichapo.
ndanda fc 1 mbeya city fc 1 mpira unaendelea