Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Bongo huwaingii wadada na "upeo " unafungua tu bahasha ya kaki (maana hela ya madafu si unajua haitoshi Kwa wallet) ...
wabongo nuksi majina tu kufanana ishakuwa ishu, haidery plaza ni ya Fidahussein bilionea wa ukweli. Tukiendelea hivi siku moja mtakuja sema Mlimani siti ni ya siti mtemvu :A S wink:
Ha ha ha we nae bana lol...mbele yako nyuma ya jf mmmhWazazi wake bado hai hiyuyu wengi wanatekefezaga ndugu ama.wazazi.kwenye.madini
Rip jimmy.mbeleyako nyuma ya jf
Wazazi wake bado hai hiyuyu wengi wanatekefezaga ndugu ama.wazazi.kwenye.madini
Rip jimmy. mbeleyako nyuma ya jf
Bilionea ana utapia mlo..mxxxxx bilionea my foot
Wanazo BMW mbili.
Daah! Hiyo picha tajiri mtoto ameshika pesa utafikiri si tajiri bali mkulima aliyeshinda Jay Millions. Arusha ina kila aina ya matajiri kwa kweli. R.I.P tajiri mtoto.
BMW za ukweli 22" rims.
Mtandao huu Gold scams from Tanzania - 419 Scammers Exposed! ni mtandao wa watu kujadiliana wakishatapeliwa. Zinasema hivi:
"Every single Tanzania company with Internet offers of Gold in any form that have been posted here have been frauds, without exception."
More Tanzania gold scammers on Tradekey.
Fake PDF document, non-delivery gold scam
http://share.pdfonline.com/18959be30...20CONTRACT.htm
GLOBEX MINERAL LINE (TZ) CO Ltd
Plot No. 102 Block C, Changombe Madukani, P.O.Box 6484 Dar es Salaam, Tanzania. Mobile: +255 718238169 - 255718238169
Email: globexmineral@yahoo.com
Gold bars US $ 27 ,000 per kg
The BUYER bank shall pay the SELLER the goods being exported to the buyers choice refinery. The value of the goods shall be: 70kg`s x $27,000
source: Gold scams from Tanzania - 419 Scammers Exposed!
cc: Heaven on Earth warumi Muuza Sura
BansenBurner hekimatele
teh teh teh,is the item even worth that price?au ndio yaleyale ya kuoverate kila kitu in bongoteh teh Dollar 200 ukiichange haikai kwenye wallet.. Nasikia yule Pro wao Price tag yake ni $400-500 tu
Dogo hakuwa speed ujue wakat anapata iyo ajali, Lorry ndo lilifeli brake likamvaa. Walikutana kwnye junction. Dogo hakuweza ku-survive maana iyo lorry iligonga upande wake. Airbag zilitoka hadi milangoni lakini hazikusaidia.
hii sasa ndio shughuli iliyomfanya dogo apate umaarufu mjini na pesa za kuchezea.(GOLD SCAMS)
Is this supposed to be a clue that you also know him?
😀😀😀😀😜
teh teh teh,is the item even worth that price?au ndio yaleyale ya kuoverate kila kitu in bongo
hata naye yuko overrated,wataalam wanakuambia mgodi haufai umejaa maji na harufu.ndio maana umejipandisha bei ili wachache wasogelee hasa wazee ambao hawacomplain sana.no wonder vijana hawapigi kambiOverrated.. Mtu ambaye ana worth that price tag ni Uwoya.. Nasikia yule ukimlipa hiyo pesa utatamani asubuhi uongeze tip teh teh teh
hata naye yuko overrated,wataalam wanakuambia mgodi haufai umejaa maji na harufu.ndio maana umejipandisha bei ili wachache wasogelee hasa wazee ambao hawacomplain sana.no wonder vijana hawapigi kambi
Kwanini niseme kitu nisichokijua?marehemu ni mdogo wake haidary kavira wana kampuni inaitwa globex inahusika na madini dar.hakuwa bilionea but alikuwa anapesa mingi sijasimuliwa nawafahamu.
Wengine wanasma eti alikuwa anafanya biashara ya madini, ila nasikia ni pesa za urithi wa baba ake, halafu alikuwa ana roho nzuri mwenyewe, hakanaga ata maringo aseeh, rest in peace