BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Lemutuz hajakwenda? Ni rafiki yake na anaweza kuchaguliwa kuwa mwenye kiti wa mazishi
Hydar ni rafik yake au ni ndug yake yule? Mmh nasikia wana pesa chafu, rafik zake lemutuz hao
Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Namjua bhana, juzi tulikuwa nae kibo tegeta, na picha tukapiga jaman loh
Hydar ni rafik yake au ni ndug yake yule? Mmh nasikia wana pesa chafu, rafik zake lemutuz hao
Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hao wajane na yatima ni mtu kutaka mwenyewe kuwasaidia, sio kwakuwa wajane na yatima ndio watu waache kula maisha kisa wao akhaaa basi kina Bill Gates Wangefirisika, cause USA wanaongoza kwa wajane
Haujitambui wewe kaa kimya usije ukajitafutia laana bure..
Hao wajane na yatima ni mtu kutaka mwenyewe kuwasaidia, sio kwakuwa wajane na yatima ndio watu waache kula maisha kisa wao akhaaa basi kina Bill Gates Wangefirisika, cause USA wanaongoza kwa wajane
Teh Teh sijui watu wana jua vipi kama mtu hasaidii wajane? au mpaka atangaze? Tanzania ni nchi pekee ambapo usipo toa msaada ni kosa la jinai !
Wewe unayejua weka habari sahihi,kwani hajafa huyo mtu? umri wa 21 kumiliki helkopter na benzi alikuwa anafanya biz gani?
Pole zake marehemu. Amefariki mapema sana kabla hata hajaenjoy hela zake.
21 years amewahi nini mbinguni?
Pombe noma sana
Huyo mara ya mwisho alikuwa bar ya Amsterdam iliyopo mbezi beach waliokuwa naye wanasema alikuwa tungi sana.
R.i.p jimmy boy
Mna utani na babu nyie eeeh
Wakati anaomboleza u know!!
Yeah Nipo minjingu nafanya biashara ya kuuza mkaa town nakuja kuleta mkaa na kurudi tena porini,mabilionea wa atown wanajulikana ndugu labda Huyo dogo ni broker.
Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....
Hivi alikuwa kwenye mwendo kasi na anatumia vilevi? Kwa umri wake ulivyo mdogo lazima alikuwa ana kunywa....! Hivi lemutuz huwa anatumia kilevi?
Mkuu huyo bilionea wa dar huoni sura laini hiyo haijui hata suruba za maisha......r.i.p bilionea
Babu yako mabillionaire wenzake wanaondoka soo sad! Hivi babu yako anatumia kilevi chochote?