The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Bilioni moja kwa currency gani, dollar, euro, pound, yen, yuan, rand au shillingi?
Namaanisha pesa yetu ya madafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilioni moja kwa currency gani, dollar, euro, pound, yen, yuan, rand au shillingi?
Wadada wa bongo movie waliompost.. Waliinamishwa bila shaka.. Makahaba wanawajua watu weng wenye hela
Mbona simjui Huyo bilionea wa A town? Nipo huku Minjingu umenyeni tangu 90's sijawahi msikia Huyo dogo.
Tanzania mabilionea ni wawili tu, wengine ni milionea ambao ni wachache pia. Afu wanafata lakionea na bukuonea
Dona hilo
Halafu alikuwa ana jishughulisha na nini huyu?
Vipi hajapita na lulu kwel?
Huyu dogo kweli kafikisha miaka 21?mbona kama mdogo
Kila Mtu akiwa bilionea basi jua kuwa lemutuz rafiki yake..we tazama hicho kitoto lemutuz anavyokinyenyekea
Wengine wanasma eti alikuwa anafanya biashara ya madini, ila nasikia ni pesa za urithi wa baba ake, halafu alikuwa ana roho nzuri mwenyewe, hakanaga ata maringo aseeh, rest in peace