shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Na huyu jamaa nouma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishasikia kesi ya mtu kalalamika kudhulumiwa? Huko Tanga wasiko na mabilionea mbona wanadhulu mpaka wajane? Arusha watu wanatafuta hela hata kwa kucheza na mavi halafu baadae wanaoga wanaenda kutumia hela Arusha hakuna chalii anaevaa hereni na kupaka poda, acha kudhalilisha watu kwa utafutaji wao.Arusha kila mtu ni bilionea duh..ukweli pale kuna dhuluma kubwa sna watu pale wengi ni wadhulumaji hakuna cha bilionea wala nn
Embu tuambie story ya huyu jamaa kiundani nimemuona Arusha leo asubuhi na wakati anatakiwa a'report kituoni leo huko DarThubutu yake....haidari kavila inasemekana alimuwekaga Bondi mdogo wake anaitwa Biden boss...yaani Mtoto wa Kaka yake haidairi kavila ili Jamaa speeder mambo fulani...
Alafu baada ya Jamaa kutoka Bondi alidhulumiwa na kvila hehehe....
Ova
Mjane gumashi yule...bilionea yuko wapi??? na wewe kweli unafanya snaaa za maigizo za ubillionea???? Acha utani banaUlishasikia kesi ya mtu kalalamika kudhulumiwa? Huko Tanga wasiko na mabilionea mbona wanadhulu mpaka wajane? Arusha watu wanatafuta hela hata kwa kucheza na mavi halafu baadae wanaoga wanaenda kutumia hela Arusha hakuna chalii anaevaa hereni na kupaka poda, acha kudhalilisha watu kwa utafutaji wao.
Acha kuhukumu wwpoleni wafiwa, ila kwa nyie mabilionea wa arusha hasa madini , kama hizo mali mlizipata kwa kudhulumu mtakwisha kiajabu ajabu hivihivi, nlishapata stori moja sasa nimeanza kuamini mlinyang'anya sana mali za watu , na mkamtumia advocate bilionea mawalla na mkashinda sasa mrudieni Mungu , kwa mtazamo tu anzia kifo cha Mawalla , utaona mfululizo wa vifo vya ajabu kwa hawa mabilionea .
Haidali kavila ndo nani?huyu sio billionea wa arusha bali ni mdogo wake Haidali kavila
Upotoshaji upi sasa wakati uzi wenyewe ni wa mwaka juzi pia?Acha kudanganya watu huyu mtoto alifariki tangia mwaka juzi....na wala sio mtoto wa arusha....wana office ya upigaji wa dhahabu mikocheni yeye....baba yao na kaka yake marehemu. Ni kweli alifariki tegeta akiwa ametoka kwa demu wake ila si kama unavyopotosha hapa. Na hio helcopter wala si yake ni ya yule mhindi aliekua front kwa mzamiri ambae aliacha upigaji akaingia kwa bishara halali na kuzinunua 2
Mpaka akina mura ambao ni Kaoge type wapo.Kuvaa hereni nakupaka poda hakuna mkoa wacha kutetea mkoa wako
jamaa janja janja sana, kwahio ameshukia huko , alikuwa nje ya nchi naona amerudi huko JKIA panawaka motoEmbu tuambie story ya huyu jamaa kiundani nimemuona Arusha leo asubuhi na wakati anatakiwa a'report kituoni leo huko Dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa na kindege chake!!!nafwaaaaaBilionea ana utapia mlo..mxxxxx bilionea my foot