Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Uchochezi huo,,' utafanya tuanze kukataa watoto ili watusue baadae tuwatafute tule matunda [emoji4][emoji4]
Kukuhurumia kuwepo lakini vinginevyo utaishia kusema utamlaani kumbe laana ulizianza wewe.
 
Ila mi nimeona wote watoto, huyo young d hata 25hajafikisha mamisa nae ndo walewale.wazazi wao wawasaidie tu mana hakuna namna.
Ukishafikisha miaka 18 kama 'uwezo' unao unakabidhiwa mke. Majukumu ni pamoja na kulea na kuitunza familia.
 
Young dee anazidi kutuongezea idadi ya single mama hapa mjini so sad
 
Nipeni number ya mwanamkee huyo nimleye yeye na mwanaye ....
 
yan chumba kimoja wako zaidi ya wanne. kazi wanayofanya haijulikani. sijui ndo mission town
 
Mama anatakiwa kuheshimiwa,wamama huwa wanakaa nasi kwa kila hali can u imagine wale madada pamoja na hali walionayo bado wamesitili mwenzao wanampa chakula and wote walikua na furaha..kilichoniumiza ni wote bado mabinti wadogo..!!
 
Yaani alijikamatisha pale alipo sema angepata mtoto wa kike angemwita nani ?si akaropoka jina ambalo alilompa mtoto aliemkataa inamaana alikili moyoni ni wake kwa tafsiri ya jina analolopenda kwa mtoto wake .nilicheka sana shilawaduu shilawaduuu nawaona mnakula tu ubuyu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…