Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
tatizo la uyo dogo ung. ndio unampeleka less
dogo alishakiri kuacha hayo maswala.
kwa issue ya mtoto Tamara uongozi wake usipompamtazama kwa karibu kunauwezekano akarudi kwenye madawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la uyo dogo ung. ndio unampeleka less
Sure yani wanakuwa na hasira za kwanini aonekane si chochote, hapo ndipo moto wa kusaka mafanikio huanzia nmewaona watoto wa namna hata shuleni wanakuwa super sana.Sana yani. Unanipa matumaini na huyu wangu atakuja kunifuta machozi baadae.
Kukuhurumia kuwepo lakini vinginevyo utaishia kusema utamlaani kumbe laana ulizianza wewe.Uchochezi huo,,' utafanya tuanze kukataa watoto ili watusue baadae tuwatafute tule matunda [emoji4][emoji4]
Makungu?Ya kweli haya au Makungu
Mana kuna watu walizusha Diamond hamtunzi baba ake kumbe umbea
Ukishafikisha miaka 18 kama 'uwezo' unao unakabidhiwa mke. Majukumu ni pamoja na kulea na kuitunza familia.Ila mi nimeona wote watoto, huyo young d hata 25hajafikisha mamisa nae ndo walewale.wazazi wao wawasaidie tu mana hakuna namna.
Dah! Pole sana.Sana yani. Unanipa matumaini na huyu wangu atakuja kunifuta machozi baadae.
yan chumba kimoja wako zaidi ya wanne. kazi wanayofanya haijulikani. sijui ndo mission townwadogo zangu nawashauri wapunguze kupapatikia wasanii..
mmekutana mwezi wa 3 huohuo washika mimba jaaaa....
funzo kwa yule binti na wengine wote..!
Ila young D bwege sana yaani anajijua msanii halafu anakataa mtoto then kabinti kazuri kale doohh!
maisha anayoishi yule binti aiseeehhh...na wale marafiki zake jamani jamani hapana
Ntanunua baba napitwa kweli aniiNunua TV kijana uko nyuma Sana
Yaani alijikamatisha pale alipo sema angepata mtoto wa kike angemwita nani ?si akaropoka jina ambalo alilompa mtoto aliemkataa inamaana alikili moyoni ni wake kwa tafsiri ya jina analolopenda kwa mtoto wake .nilicheka sana shilawaduu shilawaduuu nawaona mnakula tu ubuyu humuYes Mamisa amekunywa maji ya hasili mtoto wa kitanga bunti mbichi wa 21 kaangukia kwa wauza nyago insta na midananda midume suruali.
Nimeangalia interviews zote ya Young D na mzazi mwenzake, kiukweli mtoto ni wa Young D maana SHILAWADU walimtega vizuri na akaingia king,alikataa kwamba hana mtoto ila wakamuuliza anapenda mtoto gani akasema wa kike me jina gani analipenda akataja Tamar ambalo ndilo alilompa huyo mtoto aliyemkataa.
David Genzi (Young D) please msaidie mzazi mwenzako kama hauna kitu declare SHILAWADU wafanye harambee,sio Poa kumtelekeza mtoto mdogo namna ile, kama ulikuwa haupo tayari kwanini ulikuwa unauza MECHI?
Sijajua kwanini mungu anawaonaSperm donors ni wengi, afu siku maisha yakimtmb huko anarudi kutafuta mtoto maneenah
Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.
Inshaallah.!mama bibi tifa si unamuona anavyoosha nyotaSana yani. Unanipa matumaini na huyu wangu atakuja kunifuta machozi baadae.
Hebu tuwekee picha moja tu Diamond akiwa na huyo baba yake.
Ahhaahhah halooKesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
dahhh...wema alikuwa mzuri banaaaa...dah