Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Ila mi nimeona wote watoto, huyo young d hata 25hajafikisha mamisa nae ndo walewale.wazazi wao wawasaidie tu mana hakuna namna.
Ukishafikisha miaka 18 kama 'uwezo' unao unakabidhiwa mke. Majukumu ni pamoja na kulea na kuitunza familia.
 
Young dee anazidi kutuongezea idadi ya single mama hapa mjini so sad
 
Nipeni number ya mwanamkee huyo nimleye yeye na mwanaye ....
 
wadogo zangu nawashauri wapunguze kupapatikia wasanii..
mmekutana mwezi wa 3 huohuo washika mimba jaaaa....

funzo kwa yule binti na wengine wote..!

Ila young D bwege sana yaani anajijua msanii halafu anakataa mtoto then kabinti kazuri kale doohh!
maisha anayoishi yule binti aiseeehhh...na wale marafiki zake jamani jamani hapana
yan chumba kimoja wako zaidi ya wanne. kazi wanayofanya haijulikani. sijui ndo mission town
 
Mama anatakiwa kuheshimiwa,wamama huwa wanakaa nasi kwa kila hali can u imagine wale madada pamoja na hali walionayo bado wamesitili mwenzao wanampa chakula and wote walikua na furaha..kilichoniumiza ni wote bado mabinti wadogo..!!
 
Yes Mamisa amekunywa maji ya hasili mtoto wa kitanga bunti mbichi wa 21 kaangukia kwa wauza nyago insta na midananda midume suruali.

Nimeangalia interviews zote ya Young D na mzazi mwenzake, kiukweli mtoto ni wa Young D maana SHILAWADU walimtega vizuri na akaingia king,alikataa kwamba hana mtoto ila wakamuuliza anapenda mtoto gani akasema wa kike me jina gani analipenda akataja Tamar ambalo ndilo alilompa huyo mtoto aliyemkataa.

David Genzi (Young D) please msaidie mzazi mwenzako kama hauna kitu declare SHILAWADU wafanye harambee,sio Poa kumtelekeza mtoto mdogo namna ile, kama ulikuwa haupo tayari kwanini ulikuwa unauza MECHI?
Yaani alijikamatisha pale alipo sema angepata mtoto wa kike angemwita nani ?si akaropoka jina ambalo alilompa mtoto aliemkataa inamaana alikili moyoni ni wake kwa tafsiri ya jina analolopenda kwa mtoto wake .nilicheka sana shilawaduu shilawaduuu nawaona mnakula tu ubuyu humu
 
Hebu tuwekee picha moja tu Diamond akiwa na huyo baba yake.
Diamond-Wema-Baba-yake.jpg
 
Back
Top Bottom