Wanawake wasiku hizi noma mkuuuu wanafikiria kuwa na maisha mazuri mpaka awatoley chupi wanaume oteeHumuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Hi mission town huwa ni kazi ganiyan chumba kimoja wako zaidi ya wanne. kazi wanayofanya haijulikani. sijui ndo mission town
Sure yani wanakuwa na hasira za kwanini aonekane si chochote, hapo ndipo moto wa kusaka mafanikio huanzia nmewaona watoto wa namna hata shuleni wanakuwa super sana.
Inshaallah.!mama bibi tifa si unamuona anavyoosha nyota
Sperm donors wanakera ila kina dada wanaojifanya incubator kubeba beba mimba wanakera zaidiInakera
Aaaa sanaSperm donors wanakera ila kina dada wanaojifanya incubator kubeba beba mimba wanakera zaidi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] aiseeeKesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
No mission townHi mission town huwa ni kazi gani
Muombee mtoto na uombee kizazi chako ili muivunje hiyo hali ya kukataliwaHata mimi sikulelewa na baba na ilinipa hasira sana kusoma kwa bidii. Naomba Mungu na mwanangu aje asome na apambane na maisha mpaka baba ake ajute kutohusika na malezi ya mwanae. Kina baba Diamond walikua kama hao kina Young Dee
HR666 ndio mshana Jr?Kwa mara ya kwanza nakutana na thread ya tunda bila kuona jina la hance mtanashati
Ulikuwa mawazoni mwangu. Roho za kukataliwa zinamfatilia na kizazi chake. Asimame haswa azivunjeMuombee mtoto na uombee kizazi chako ili muivunje hiyo hali ya kukataliwa
Wakati mwingine ni roho zinakua zinafatilia uzao
Hapana mkuuHR666 ndio mshana Jr?
Acha kutembelea nyota ya mshana unazingua aiserHapana mkuu
Hi mission town huwa ni kazi gani