Wanawake wasiku hizi noma mkuuuu wanafikiria kuwa na maisha mazuri mpaka awatoley chupi wanaume oteeHumuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.