Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Wanawake wasiku hizi noma mkuuuu wanafikiria kuwa na maisha mazuri mpaka awatoley chupi wanaume otee
 
Sure yani wanakuwa na hasira za kwanini aonekane si chochote, hapo ndipo moto wa kusaka mafanikio huanzia nmewaona watoto wa namna hata shuleni wanakuwa super sana.

Hata mimi sikulelewa na baba na ilinipa hasira sana kusoma kwa bidii. Naomba Mungu na mwanangu aje asome na apambane na maisha mpaka baba ake ajute kutohusika na malezi ya mwanae. Kina baba Diamond walikua kama hao kina Young Dee
 
Kesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] aiseee
 
Hata mimi sikulelewa na baba na ilinipa hasira sana kusoma kwa bidii. Naomba Mungu na mwanangu aje asome na apambane na maisha mpaka baba ake ajute kutohusika na malezi ya mwanae. Kina baba Diamond walikua kama hao kina Young Dee
Muombee mtoto na uombee kizazi chako ili muivunje hiyo hali ya kukataliwa
Wakati mwingine ni roho zinakua zinafatilia uzao
 
Muombee mtoto na uombee kizazi chako ili muivunje hiyo hali ya kukataliwa
Wakati mwingine ni roho zinakua zinafatilia uzao
Ulikuwa mawazoni mwangu. Roho za kukataliwa zinamfatilia na kizazi chake. Asimame haswa azivunje
 
Huyu dogo nilikuwa na nyimbo zake kama tano hivi na nilikua namkubali sana lakin tangu nilivyomuona yule mzaz mwenza akilalamika ( nimefuta nyimbo zote na sitakaa nimsikilize kwa us.......nge wake )
 
Back
Top Bottom