Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Watu wana roho mbaya sana, kwan akimsifu jirani yake atapungukiwa nn alafu, chura Mungu kampa wa size yake ilo Galina ubishi mama [emoji1]
Yaan sijui kwa nn sisi wanawake hatupendan [emoji16][emoji16]adui wa mwanamke n mwanamke mwenzio [emoji108]
 
Daahhhh poa lakini usimkazie sana.. chogo ni maumbile tu
jamaa kakazana na chogo, utadhani ndo kinakazwa icho....kuna watu ni wazuri kama anaemsifia jamaa kila siku ila mashine mbovu. ...huyu ana chogo unakuta mashine classic

sasa mwache akazane na chogo watu wana angalia injini
 
Kinachomsumbua jamaa ni kibuti alichokula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…