Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Watu wana roho mbaya sana, kwan akimsifu jirani yake atapungukiwa nn alafu, chura Mungu kampa wa size yake ilo Galina ubishi mama [emoji1]
Yaan sijui kwa nn sisi wanawake hatupendan [emoji16][emoji16]adui wa mwanamke n mwanamke mwenzio [emoji108]
 
Young d kunakipindi aliopoa mtoto mzuri wa kishua anaitwa pvcambo yuko poa sana naona atakuwa kampiga chini ndo kaopoa huyo amber rose ila naye yupo bomba
fcbbef95bbbd3b2db19fcbc233cd5ab3.jpg
Na hicho kichwa kama mzinga wa nyuki mkuu.
 
Daahhhh poa lakini usimkazie sana.. chogo ni maumbile tu
jamaa kakazana na chogo, utadhani ndo kinakazwa icho....kuna watu ni wazuri kama anaemsifia jamaa kila siku ila mashine mbovu. ...huyu ana chogo unakuta mashine classic

sasa mwache akazane na chogo watu wana angalia injini
 
Kinachomsumbua jamaa ni kibuti alichokula
 
Back
Top Bottom