Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Apo chacha!!

Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
Ukweli
wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee
kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen
kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu.

Akiongea na U-Heard ya Clouds FM, Amber Lulu amefunguka
ukweli kwa kusema kuwa amekuwa na mahusiano na rapper
huyo kwa tangu miaka minne iliyopita wakati akiwa mkoani
Mbeya.

“Marafiki zangu wanajua ni jinsi gani nilivyokuwa naishi
naye, mara ya mwisho alikamatwa na polisi mimi ndio
nilienda kumtoa ndugu zake wote walikataa kwenda, Mimi
nimeenda. Matatizo yangu yeye anayafurahia ina maana.Sikuwa nimefanya vile kwa kuwa alikuwa ni mpenzi wangu ni
mtu ninayemfahamu siku nyingi na ambaye tupo wote,”

amesema Amber.
 
kama ni kweli hii habari Young Dee kazingua li demu gani lile lina mchogo utafikiri nini sijui
 
Amber lulu anafanana sana na Amber rose. Wakipatikana wakubwa wa kumuwezesha atafika mbali sana
 
Mtake radhi amber rose .... Amber lulu huyuhuyu mwenye kichwa kama ncha ya mb0.
Kama kuna meneja mwenye pesa za kutosha anataka kuwekeza na kujipatia umaarufu kwa Africa mashariki hii mimi namshauri awekeze kwa Amber lulu. Baada ya miaka kadhaa amber lulu atakuwa kama Hudah Menroe
 
umaarufu wa mastar wa daslam wanaujua wenyewe aisee kumbe huyo dada nae ni star
 
Back
Top Bottom