‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

quantum mechanics haiwezi kutabiri future kama tunavyofikiria. Majaribio yanayohusiana na quantum eraser na entangled particles hayaruhusu kutabiri matukio ya baadae.
quantum mechanics inashughulika na uwezekano(probility)na kutokuwa na uhakika, na matokeo yake mara nyingi huelezewa kwa kutumia probability badala ya uhakika. Kitendo cha kupima pekee tu kinaathiri mfumo unaofanyiwa uchunguzi, na hii uncertainty ni sehemu muhimu ya quantum mechanics.
 
Back
Top Bottom