YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

Yeah jamaa anajikutaga yeye ndiye owner wa mziki kisa kamtoa dayamond tu
Hata Diamond, Sallam alikjiweka kwa Diamond baada ya kumuunganisha na Davido enzi za Skelewu.

Clouds walimpa Salam udalali wa kumleta davido kwaajili ya Fiesta na baadaye Sallam akamuunga kwa Diamond kufanya naye collaboration kwa malipo, ndio wakaanza kazi baada ya hapo.
 
Ohoo kumbe ndio mwanzo wa kummeneji uyo diamond ndio ulianziaga apo!?
 
Kuna shows kadhaa huwa nazifuatilia, Ni za wakenya, mtu anawezaje kuwa consistent kutengeneza videos kuanzia 2018 mpaka leo , na zinakuwa kwa kiswahili, na Kuna Yale matangazo ya adsense , anapata around 39k views per video, unataka kuniambia anafanya kwa bure miaka yote hiyo, si wange kata tamaa? Na contents zake zinahusu kusuluisha tu watu?.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Wanaotazama wengi watakuwa wakenya, kama zina entertain basi bila shaka hizo video zitakuwa zuna matangazo ambayo mtu anayaweka moja kwa moja. Yani mfano kampunu inamlipa kuweka tangazo kwenye video.
Maana views 39k ni kama 200$ or less.
 
Ina maana hata kuna Millard, sky,joti wanajifurahisha tu maana content zao ni za kiswahili,hebu fafanua kidogo sijakuelewa vizuri.
 
Kama utapendezwa na elimu zaidi, hapo ndo mtego ulipo [emoji3][emoji3]
Hizo ndo kauli za waganga njaa online, kuweni makini...watu kazi zikiwashinda wanaona bora kuanza kuibia watu.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hili ndilo zao la matokeo ya ibilisi. Siku hizi unaweza kuacha kumsaidia mtu mwema kwa sababu unahisi ndio walewale wanaojifanya wanamatatizo kumbe ni mashetani.

Kama uliwahi kukutana na mtu usiku akakuomba msaada wa sehemu ya kulala ukampa halafu usiku akaamka kukuibia, kamwe huwezi msaidia mtu mwingine tena mwenye shida kama hiyo hata kama ni mwema. Lazima utakumbuka tukio na utasema ni walewale.

Haya ndiyo maisha yaliyosasa. Hata watu wema wanaonekana wabaya ni kwa sababu tu watu fulani wameharibu.

Kaka, kumuibia mtu ni kuiibia familia yake yote hadi na watukuu.
Pia si sahihi kumvika mtu matatizo ya mtu mwingine, bora hata ungekuwa unamfahamu.
 
Ina maana hata kuna Millard, sky,joti wanajifurahisha tu maana content zao ni za kiswahili,hebu fafanua kidogo sijakuelewa vizuri.
Kaka wale wanapata pia matangazo ya nje.

Contents za kiswahili wastani ni kuanzia $0 hadi $1 kwa click moja.
Na sio kila video inapewa matangazo.

Tofauti na contents za kiingereza wastani ni kuanzia $1 kuendelea.

Si unaona hapo kwenye kiswahili utahitaji nguvu ya ziada ili uweze kupata pesa nyingi. Utahakikisha unapost contents kwa wingi ili mzunguko uende sawa.
 
Mkuu muanzisha post, sipendi kukuita muongo, wala mkatisha tamaa naomba nikuite mtu usie na taarifa sahihi kuhusu YouTube.

Najiuliza hiyo miaka 10 ulikua unafanyia YouTube gani.kama ni kweli umefanya miaka 10 ukiwa na elimu kubwa ambayo si sahihi kama hii ulioandika hapa nakubaliana nawe kua YouTube 'HAIKULIPI'

1.Youtube haiangalii lugha unayotumia ili kukulipa,chanzo kikubwa cha mapato ni matangazo, na yotube wanapokea matagazo ya lugha zote hata kiswahili,hivyo content cretor ukiwa unapata watazamaji wa kiswahili, youtube wataweka matangazo ya aina hiyo na utaingiza hela vema kabisa.

Ishu ya lugha inazingatiwa kutokana na kwamba CPM za mataifa yanayoongea kiingereza ni kubwa, kwani content zao huangaliwa dunia nzima, hivyo YouTube wanaweka tangazo kubwa kwenye video ya Youtuber wakijua litaangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali, hivyo na creator anapata hela nzuri.

Tanzania ukipata watazamaji 1000 walioona tangazo unalipwa kuanzia $0.80 mpaka $1

Wakati marekani ukipata watazamaji 1000 unaweza pata dola 8 mpaka 15. Na hizi CPM huwa zinabadilika deile, leo inapanda kesho inashuka.

Unaweza kuwa na content ya kiswahili alafu ukapata watazamaji waliopo marekani (mfano diaspora wanaotoka kenya,Tz na nchi zinazoelewa kiswahili) unapiga hela nzuri tu

Ndio maana sasa hivi marekani wanatukata kodi, kwenye hela uliyoingiza kupitia watazamaji walio ndani ya marekani, bila kujali wewe ni youtuber ulie nje ya marekani.

NB:sio kila mtazamaji ataona tangazo,hivyo video inaweza kuwa na watazamaji laki moja alafu wakaona tangazo elfu 30 mpaka 50

Nimefanya Youtube kwa miaka mitano na ninaingiza hela nzuri tu kwa mwezi, ambayo hata sina mpango wa kuajiriwa.

Elimu ya youtube ipo mtandaoni, pitia soma, kama kuna eneo nimedanganya niambie nikupe proof.

YOUTUBE INALIPA NA BADO KUNA FURSA NZURI KWA WATU KUJIAJIRI.

ASANTE
 
Unaweza kuwa na content ya kiswahili alafu ukapata watazamaji waliopo marekani (mfano diaspora wanaotoka kenya,Tz na nchi zinazoelewa kiswahili) unapiga hela nzuri tu
Sikupingi mkuu! ila bado Lugha ni mchawi wa CPM, na matangazo huwa yana-adapt mtu anachopenda kufuatilia.

Na mimi nimekuwa nikitumia njia mbadala ambayo inamatokeo chanya kwa ajili ya ukanda huu ili kupandisha cpm.

Naappreciate kaka! 🙏
 
Mkuu muanzisha post, sipendi kukuita muongo, wala mkatisha tamaa naomba nikuite mtu usie na taarifa sahihi kuhusu YouTube.

Najiuliza hiyo miaka 10 ulikua unafanyia YouTube gani.kama ni kweli umefanya miaka 10 ukiwa na elimu kubwa ambayo si sahihi kama hii ulioandika hapa nakubaliana nawe kua YouTube 'HAIKULIPI'

1.Youtube haiangalii lugha unayotumia ili kukulipa,chanzo kikubwa cha mapato ni matangazo, na yotube wanapokea matagazo ya lugha zote hata kiswahili,hivyo content cretor ukiwa unapata watazamaji wa kiswahili, youtube wataweka matangazo ya aina hiyo na utaingiza hela vema kabisa.

Ishu ya lugha inazingatiwa kutokana na kwamba CPM za mataifa yanayoongea kiingereza ni kubwa, kwani content zao huangaliwa dunia nzima, hivyo YouTube wanaweka tangazo kubwa kwenye video ya Youtuber wakijua litaangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali, hivyo na creator anapata hela nzuri.

Tanzania ukipata watazamaji 1000 walioona tangazo unalipwa kuanzia $0.80 mpaka $1

Wakati marekani ukipata watazamaji 1000 unaweza pata dola 8 mpaka 15. Na hizi CPM huwa zinabadilika deile, leo inapanda kesho inashuka.

Unaweza kuwa na content ya kiswahili alafu ukapata watazamaji waliopo marekani (mfano diaspora wanaotoka kenya,Tz na nchi zinazoelewa kiswahili) unapiga hela nzuri tu

Ndio maana sasa hivi marekani wanatukata kodi, kwenye hela uliyoingiza kupitia watazamaji walio ndani ya marekani, bila kujali wewe ni youtuber ulie nje ya marekani.

NB:sio kila mtazamaji ataona tangazo,hivyo video inaweza kuwa na watazamaji laki moja alafu wakaona tangazo elfu 30 mpaka 50

Nimefanya Youtube kwa miaka mitano na ninaingiza hela nzuri tu kwa mwezi, ambayo hata sina mpango wa kuajiriwa.

Elimu ya youtube ipo mtandaoni, pitia soma, kama kuna eneo nimedanganya niambie nikupe proof.

YOUTUBE INALIPA NA BADO KUNA FURSA NZURI KWA WATU KUJIAJIRI.

ASANTE
Yeah nakubaliana na wewe hata mimi nilikua namiliki channel YouTube kwa kupindi flani lakini kwa sasa nimeacha ila nina uelewa wa mambo mengi ,jamaa kuna vitu anachanganya eti ukitumia kiswahili unalipwa hela ndogo hapana sio kweli

Haijalishi unatumia lugha gani,what matters is the audience wanaotazama video zako

Nchi kama Marekani na bara la ulaya audience yake ina thamani kuliko audience ya Africa na sababu kubwa ni kwamba makampuni ya Ulaya yanalipa pesa nyingi kwa Google kwa ajili ya matangazo yao tofauti na Kampuni za Africa

Ngoja nifafanue kidogo kwa wasio elewa,iko hivi yale matangazo unayoyaona YouTube ni ya makampuni tofauti duniani kwa mfano Coca-Cola,Apple,Pesi,Mcdonalds na nyinginezo sasa hayo makampuni ndo yanawalipa Google pesa ili watangaze

Kwahyo Google wanachokifanya ni baadhi ya matangazo wanayapeleka YouTube na hao wanaomiliki YouTube ndo wanaweka yale matangazo kwenye channel tofauti za watu ambazo zimekidhi vigezo.

Ndo maana ukifungua video ya millard ayo unaweza ukakutana na tangazo la Cocacola ambalo limewekwa na YouTube kutokea Google.

So kwa njia rahisi ni Cocacola wamelipa pesa ya matangazo kwa Google na Google watalipeleka YouTube,likifika YouTube linapelekwa kwenye channel ya millard ayo

Kwahiyo hapo kila mmoja anapata mgao wake.

Na kama nilivyosema hapo awali makampuni ya Ulaya yanalipa pesa nzuri ya matangazo tofauti na Kampuni za Africa kwahyo watazamaji walioko ulaya wana thamani kuliko Africa na ninaposema thamani namaanisha mchango wao kwa view

Hivyo basi YouTube hela ipo lakini ukitaka kupata pesa nyingi zaidi inabidi uwe na audience ya ulaya na ili uipate inabidi uwe na content ambazo hata mtu wa ulaya anaweza kuangalia

Nitatoa mifano miwili

Mfano wa kwanza mtu mwenye channel ya mpira anayepost habari za michezo,na highlights za ligi kuu za ulaya kama Epl,la liga,Uefa,europa nk atapata international audience yani watu kutoka kila pembe ya dunia wataangalia videos zake na hivyo atapiga hela

Mfano wa pili ni mtu mwenye channel ya mpira anayepost ligi kuu ya bongo tu,huyu atapata local audience tu yani watu wanaofatilia channel yake ni watanzania tu tena wachache,Mtu wa ulaya hawezi kuhangaika na ligi ya bongo tena aangalie Timu kama namungo[emoji23](jokes)

Kwahyo mtu anayepost vitu international atapata audience kubwa na hela nyingi pia

Ningeendelea ila dah nimechoka kutype
 
Jana nilikuwa napita pita huko mtandaoni. Nikashangaa kusoma kuwa shakira, anachukua kama dola milionin4 YouTube kila mwezi. Na kwa ngoma yake hii kiasi hicho kitaongezeka kwa muda fulani. Nikasema hiii
Ila hata hapa Bongo kuna msanii alisema analipwa dollar 100,000 kutokana na views
 
Kaka wale wanapata pia matangazo ya nje.

Contents za kiswahili wastani ni kuanzia $0 hadi $1 kwa click moja.
Na sio kila video inapewa matangazo.

Tofauti na contents za kiingereza wastani ni kuanzia $1 kuendelea.

Si unaona hapo kwenye kiswahili utahitaji nguvu ya ziada ili uweze kupata pesa nyingi. Utahakikisha unapost contents kwa wingi ili mzunguko uende sawa.
Acha Uongo, nina content za kiswahili na zinaingiza ela na video zote zina matangazo. Acha kukatisha watu tamaa.

YouTube sio kama Blog, Kwa Blogs sawa Content za Kiswahili haziruhusiwi kwenye monetization ya AdSemce ila Kwa YouTube hawana Limitation ya Lugha, Kwa YouTube labda useme Geographical Location na aina ya content ndo ina affect CPM, na Kwa YouTune hawalipi kwa CPC kama Blog bali YouTube wanalipa kwa CPM.

Acha Kuwachota watu kama huna uhakika wa jambo unalolisema Litafutie Tarifa zaidi kabla hujalieleza.

Unachokielezea kinakaribiana na ukweli lakini Umeweka Uongo mwingi kuliko ukweli. Mfano Kusema YouTube wanalipa kwa CPC nimefanya niamini Hujui unachokisema.

YOUTUBE kuna Ela ukijituma no mara where you are japo Biashara Ile ile inayofanyika Tanzania haiwezi ingiza Kipato sawa na biashara inayofanyika Marekani. The same to YouTube ya Bongo na YouTube ya Marekani
 
Ila hata hapa Bongo kuna msanii alisema analipwa dollar 100,000 kutokana na views
Wasanii waongo sana. Nadhani hakuna msanii anayeongoza kulipwa ela YT zaidi ya diamond na rayvanny. Wanapiga ela ndiyo lakini si kiasi cha kulipwa usd 100k kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom