Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Diamond, Sallam alikjiweka kwa Diamond baada ya kumuunganisha na Davido enzi za Skelewu.Yeah jamaa anajikutaga yeye ndiye owner wa mziki kisa kamtoa dayamond tu
Ohoo kumbe ndio mwanzo wa kummeneji uyo diamond ndio ulianziaga apo!?Hata Diamond, Sallam alikjiweka kwa Diamond baada ya kumuunganisha na Davido enzi za Skelewu.
Clouds walimpa Salam udalali wa kumleta davido kwaajili ya Fiesta na baadaye Sallam akamuunga kwa Diamond kufanya naye collaboration kwa malipo, ndio wakaanza kazi baada ya hapo.
AYO TV ana Watazamaji wengi sana. Kwake lazima imlipe.Kwa maana kubwa nikwamba AYO TV anazulula tu?
Matapeli wengi ili kuvuta watu ujifanya ni washamba wa kisukuma!Jamani sasa Wasukuma tumeingiaje tena hapa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaotazama wengi watakuwa wakenya, kama zina entertain basi bila shaka hizo video zitakuwa zuna matangazo ambayo mtu anayaweka moja kwa moja. Yani mfano kampunu inamlipa kuweka tangazo kwenye video.Kuna shows kadhaa huwa nazifuatilia, Ni za wakenya, mtu anawezaje kuwa consistent kutengeneza videos kuanzia 2018 mpaka leo , na zinakuwa kwa kiswahili, na Kuna Yale matangazo ya adsense , anapata around 39k views per video, unataka kuniambia anafanya kwa bure miaka yote hiyo, si wange kata tamaa? Na contents zake zinahusu kusuluisha tu watu?.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Hili ndilo zao la matokeo ya ibilisi. Siku hizi unaweza kuacha kumsaidia mtu mwema kwa sababu unahisi ndio walewale wanaojifanya wanamatatizo kumbe ni mashetani.Kama utapendezwa na elimu zaidi, hapo ndo mtego ulipo [emoji3][emoji3]
Hizo ndo kauli za waganga njaa online, kuweni makini...watu kazi zikiwashinda wanaona bora kuanza kuibia watu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kaka wale wanapata pia matangazo ya nje.Ina maana hata kuna Millard, sky,joti wanajifurahisha tu maana content zao ni za kiswahili,hebu fafanua kidogo sijakuelewa vizuri.
Sikupingi mkuu! ila bado Lugha ni mchawi wa CPM, na matangazo huwa yana-adapt mtu anachopenda kufuatilia.Unaweza kuwa na content ya kiswahili alafu ukapata watazamaji waliopo marekani (mfano diaspora wanaotoka kenya,Tz na nchi zinazoelewa kiswahili) unapiga hela nzuri tu
Yeah nakubaliana na wewe hata mimi nilikua namiliki channel YouTube kwa kupindi flani lakini kwa sasa nimeacha ila nina uelewa wa mambo mengi ,jamaa kuna vitu anachanganya eti ukitumia kiswahili unalipwa hela ndogo hapana sio kweliMkuu muanzisha post, sipendi kukuita muongo, wala mkatisha tamaa naomba nikuite mtu usie na taarifa sahihi kuhusu YouTube.
Najiuliza hiyo miaka 10 ulikua unafanyia YouTube gani.kama ni kweli umefanya miaka 10 ukiwa na elimu kubwa ambayo si sahihi kama hii ulioandika hapa nakubaliana nawe kua YouTube 'HAIKULIPI'
1.Youtube haiangalii lugha unayotumia ili kukulipa,chanzo kikubwa cha mapato ni matangazo, na yotube wanapokea matagazo ya lugha zote hata kiswahili,hivyo content cretor ukiwa unapata watazamaji wa kiswahili, youtube wataweka matangazo ya aina hiyo na utaingiza hela vema kabisa.
Ishu ya lugha inazingatiwa kutokana na kwamba CPM za mataifa yanayoongea kiingereza ni kubwa, kwani content zao huangaliwa dunia nzima, hivyo YouTube wanaweka tangazo kubwa kwenye video ya Youtuber wakijua litaangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali, hivyo na creator anapata hela nzuri.
Tanzania ukipata watazamaji 1000 walioona tangazo unalipwa kuanzia $0.80 mpaka $1
Wakati marekani ukipata watazamaji 1000 unaweza pata dola 8 mpaka 15. Na hizi CPM huwa zinabadilika deile, leo inapanda kesho inashuka.
Unaweza kuwa na content ya kiswahili alafu ukapata watazamaji waliopo marekani (mfano diaspora wanaotoka kenya,Tz na nchi zinazoelewa kiswahili) unapiga hela nzuri tu
Ndio maana sasa hivi marekani wanatukata kodi, kwenye hela uliyoingiza kupitia watazamaji walio ndani ya marekani, bila kujali wewe ni youtuber ulie nje ya marekani.
NB:sio kila mtazamaji ataona tangazo,hivyo video inaweza kuwa na watazamaji laki moja alafu wakaona tangazo elfu 30 mpaka 50
Nimefanya Youtube kwa miaka mitano na ninaingiza hela nzuri tu kwa mwezi, ambayo hata sina mpango wa kuajiriwa.
Elimu ya youtube ipo mtandaoni, pitia soma, kama kuna eneo nimedanganya niambie nikupe proof.
YOUTUBE INALIPA NA BADO KUNA FURSA NZURI KWA WATU KUJIAJIRI.
ASANTE
Ila hata hapa Bongo kuna msanii alisema analipwa dollar 100,000 kutokana na viewsJana nilikuwa napita pita huko mtandaoni. Nikashangaa kusoma kuwa shakira, anachukua kama dola milionin4 YouTube kila mwezi. Na kwa ngoma yake hii kiasi hicho kitaongezeka kwa muda fulani. Nikasema hiii
Acha Uongo, nina content za kiswahili na zinaingiza ela na video zote zina matangazo. Acha kukatisha watu tamaa.Kaka wale wanapata pia matangazo ya nje.
Contents za kiswahili wastani ni kuanzia $0 hadi $1 kwa click moja.
Na sio kila video inapewa matangazo.
Tofauti na contents za kiingereza wastani ni kuanzia $1 kuendelea.
Si unaona hapo kwenye kiswahili utahitaji nguvu ya ziada ili uweze kupata pesa nyingi. Utahakikisha unapost contents kwa wingi ili mzunguko uende sawa.
Wasanii waongo sana. Nadhani hakuna msanii anayeongoza kulipwa ela YT zaidi ya diamond na rayvanny. Wanapiga ela ndiyo lakini si kiasi cha kulipwa usd 100k kwa mwezi.Ila hata hapa Bongo kuna msanii alisema analipwa dollar 100,000 kutokana na views