Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

Mbona una hasira,sasa hizo haja zinaingiaje hapo ,ili uweze kupiga pesa Youtube basi Video yako lazima iwe nzuri,sababu quality na uzuri wa Video ndio inaipa thamani kubwa nyimbo yako Youtube hata watu wanaitazama mara kwa mara na views wanakuwa wengi.Hivi hujui baadhi ya nyimbo watu wamezipenda sababu ya video au umesahau Nyimbo ya CAPO SNOOP -PRAKATATUMBA audio ya kawaida ila video ndio imeikuza nyimbo na kuwa kubwa.Mimi mtizamo wangu audio nzuri,ila video mbovu.
Basi poa boss, naomba tuishie hapa ila kapga panapo....Kama kwangaru vile..tena beat lenyewe kwangaru plus mlipuko Wa video
 
Siku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama.
Hongereni nime-like video zenu zote
Namuhurumia sana kaka yetu,vijana wadogo kama Lavalava wanampeleka puta kwa vitu quality,goma lake na vijana wake limefeli halina mapokezi mazuri mtaani mashabiki zake wameshaanza kumchoka
 
Mbona una hasira,sasa hizo haja zinaingiaje hapo ,ili uweze kupiga pesa Youtube basi Video yako lazima iwe nzuri,sababu quality na uzuri wa Video ndio inaipa thamani kubwa nyimbo yako Youtube hata watu wanaitazama mara kwa mara na views wanakuwa wengi.Hivi hujui baadhi ya nyimbo watu wamezipenda sababu ya video au umesahau Nyimbo ya CAPO SNOOP -PRAKATATUMBA audio ya kawaida ila video ndio imeikuza nyimbo na kuwa kubwa.Mimi mtizamo wangu audio nzuri,ila video mbovu.
Prakatatumba kilichotuteka ilikua beat na wimbo ndiyo vilituteka ndiyo maana aliletwa kupiga show ingekua watu wamefall kwa video tupu wangemleta ya nini?
 
Kaifanya kiswazi sanaa
IOKOTE audio nzuri ila video wamechemka,yaani yale mavazi aliyovaa Maua plus na make up ameonekana kama chizi hata location zake hazivutii na yule jamaa aliyeshirikishwa kapooza.
 
Back
Top Bottom