Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Lavalava Go gaga
Kama ataenda na style hii ataufikisha mziki mbali ,video Kali asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lavalava Go gaga
Basi poa boss, naomba tuishie hapa ila kapga panapo....Kama kwangaru vile..tena beat lenyewe kwangaru plus mlipuko Wa videoMbona una hasira,sasa hizo haja zinaingiaje hapo ,ili uweze kupiga pesa Youtube basi Video yako lazima iwe nzuri,sababu quality na uzuri wa Video ndio inaipa thamani kubwa nyimbo yako Youtube hata watu wanaitazama mara kwa mara na views wanakuwa wengi.Hivi hujui baadhi ya nyimbo watu wamezipenda sababu ya video au umesahau Nyimbo ya CAPO SNOOP -PRAKATATUMBA audio ya kawaida ila video ndio imeikuza nyimbo na kuwa kubwa.Mimi mtizamo wangu audio nzuri,ila video mbovu.
Bit mbovu maproducer wasikuizi wamechokaKama ataenda na style hii ataufikisha mziki mbali ,video Kali asee
Namuhurumia sana kaka yetu,vijana wadogo kama Lavalava wanampeleka puta kwa vitu quality,goma lake na vijana wake limefeli halina mapokezi mazuri mtaani mashabiki zake wameshaanza kumchokaSiku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama.
Hongereni nime-like video zenu zote
Lavalava Go gaga
😂😂😂😂Wimbo wa Nay umetulia ila wasije wakamtundu lissu
Ze last BornIOKOTE audio nzuri ila video wamechemka,yaani yale mavazi aliyovaa Maua plus na make up ameonekana kama chizi hata location zake hazivutii na yule jamaa aliyeshirikishwa kapooza.
Ze last BornYan hamna kitu...maua si lazima awe anaonekana kwenye video!!
Tatizo wabongo wamekariri wanataka lazima msanii atokee kwenye video..
Prakatatumba kilichotuteka ilikua beat na wimbo ndiyo vilituteka ndiyo maana aliletwa kupiga show ingekua watu wamefall kwa video tupu wangemleta ya nini?Mbona una hasira,sasa hizo haja zinaingiaje hapo ,ili uweze kupiga pesa Youtube basi Video yako lazima iwe nzuri,sababu quality na uzuri wa Video ndio inaipa thamani kubwa nyimbo yako Youtube hata watu wanaitazama mara kwa mara na views wanakuwa wengi.Hivi hujui baadhi ya nyimbo watu wamezipenda sababu ya video au umesahau Nyimbo ya CAPO SNOOP -PRAKATATUMBA audio ya kawaida ila video ndio imeikuza nyimbo na kuwa kubwa.Mimi mtizamo wangu audio nzuri,ila video mbovu.
IOKOTE audio nzuri ila video wamechemka,yaani yale mavazi aliyovaa Maua plus na make up ameonekana kama chizi hata location zake hazivutii na yule jamaa aliyeshirikishwa kapooza.