Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

Prakatatumba kilichotuteka ilikua beat na wimbo ndiyo vilituteka ndiyo maana aliletwa kupiga show ingekua watu wamefall kwa video tupu wangemleta ya nini?
Style za uchezaji wake ndio zimeukuza zaidi plus na quality ya video na hasa watoto walizipenda sababu jamaa alikuwa anacheza kama katuni.
 
Ile show iliandaliwa na Clouds ilikua spesho kwa watoto? Alivyopafom BBA ilikua kwa ajili ya watoto?
 
Najua unataka ligi show ya capo snoop, uliandaliwa kipindi cha sikukuu kama sikosei ilikuwa Iddi na ilifanyika kuanzia mchana na kuisha mida ya usiku usio mkali na wahudhuliaji wengi walikuwa watoto. Kipindi cha nyuma cha Mr Nice fan base yake kubwa walikuwa watoto, lkn show zake mpaka watu wazima walikuwa wanaenda, sasa ww unashangaa Cabo snoop kutumbuiza big brother, sometime ww mtu mzima unaweza ukakipenda kitu chenye mtizamo wa kitoto sababu tu ya ushawishi toka kwa mtoto. Kama unalingine unaweza uliza ila Video ya MAUA SAMA MBOVU, audio kali.
 
Bob siyo nataka ligi Cabo Snoop na Prakatatumba ni mfano wa nyimbo nyingi ambazo zinabebwa na beat nyimbo zingine ni Gangnam Style, Oga Police, Gwara Gwara, Dame Tu Cosita n.k.

Cabo hakuja kwa ajili ya watoto, huo ni uongo. Wimbo wa Maua Sama ni mbovu kuliko wimbo wake wa Sisikii lakini kwakua wabongo sisi ni wanafiki ndiyo tunauona Iokote mzuri. Huu unafiki alifanyiwa Darasa na wimbo wake wa Muziki, tuliona kilichofuata.
 
Prakatatumba imebebwa na video plus style ya kucheza ya kikatuni ambayo watoto waliipenda.Alafu siwaone waandaaji mafala kuweka muda wa show kuanzia mida ya mchana,kwani nao waliligundua hilo walitaka hata watoto nao washiriki (akili ya kibiashara).

Sasa hiyo dame tu cosita ,ww kwa akili yako unazani imekuwa maarufu kwa ajili gani ,si kile kikatuni kinavyocheza na ndio maana hata watoto na watu wazima wameipenda.WEWE NDIYE MNAFIKI huwezi linganisha Iokote na sisikii hata mara moja.Darasa alifanyiwa unafiki gani,wakati kuanzia audio mpaka video zilikuwa kali au ww sababu ya UNAFIKI WAKO hebu nioneshee unafiki aliofanyiwa darasa.Soma hiyo link alafu jiulize kwa nini lile tukio lifanywe liwe la kifamilia.
MICHUZI BLOG: cabo snoop kuwasha moto ndani ya family day bonanza lidaz Club
 
Hahaha jamaa umepaniki. Iokote wimbo mbovu na umekazania Cabo kuperform kwa ajili ya watoto alivyoenda BBA uliona watoto pale?

Dame Tu Cosita (Give It To Me) ni wimbo wa kitoto? Mwanao afanye mpango akutoroke wewe huwezi kua mlezi wa kawaida. Sa matusi yote yale unasema wimbo ni spesho kwa watoto!!? Prakatatumba, Windek, Dance nyimbo zote za miaka ile za Cabo ni beat ndiyo ilimbeba, kama kwa Dame Tu Cosita.

Wewe ni mnafiki sana unasema Iokote mzuri kushinda Sisikii!!? Hahaha haki wewe unafaa kua chawa wa Taifa.
 
Wewe ndio umepanic,hivi kuna , mbona kuna watoto wanaimba kwangwaru na jibebe ambazo zimejaa matusi,we unazani huyo mtoto anaelewa give it to me ina maana gani .Alafu hata mziki ww hujui hivi unafikiri watu wanapenda mziki sababu ya maneno hata Melody inatosha kumvutia mtu nyimbo kuipenda,Despacito nyimbo ambayo mimi nilikuwa naipenda lkn nilikuwa sijui hata maana yake mwanzoni ,Alaji ya nimeipenda sababu ya midundo yake,Dame tu cosita na Prakatumba nimezipenda sababu ya video zake japokuwa maana yake sizijui.

Tatizo lako ww kilaza hata maudhui ya video hujui yanamlenga nani ,kwani watoto wanapenda yale maneno au kikatuni .Haya unasema nyimbo ya sisikii ni kali kuliko iokote,umeipima kwa kutumia kitu gani ?Nimkuambia uoneshe unafiki alifanyiwa Darasa unaruka ruka kama maharage yanayo chemka,hueleweki kama sigara kali .Sasa mimi na wewe nani kapaniki nimekuwekea mpaka reference au unazani ukionacho ww kibaya wenzako nao watakiona kibaya .

Chawa labda wewe ambaye hueleweki,mimi mpaka sasa sijakuelewa unasimamia nini na hamna uliojibu atleast mimi nimekupa reference ya show ya Cabo TZ lkn ww umeshindwa hata kuonesha reference inayoonesha sisikii ni kali kuliko iokote ,bali hisia zako give me something tangible kitakacho nionesha sisikii ni kali kuliko iokote ,sio blah blah .
 
Hahaha ngoja niandike kwa ufupi.

Cabo Snoop aliperform BBA uliwaona watoto?

Hauoni unajikanyaga mwenyewe kwa kukubali kua melody na sauti siyo vitu pekee vinavyofanya wimbo uwe mzuri?

Nitajie wimbo unaoujua wewe ambao ni mzuri ila beat yake mbaya[emoji1]

Unafiki kwa Darasa ni kumdanganya kua Muziki ni ngoma kali kutokea nchini, kuna uzi ulianzishwa humu ukisema Darasa atampiku Diamond (Kisa wimbo wa Muziki). Akaingia mkenge akatoa nyimbo zinazofuata zenye mahadhi kama ya Muziki, zilifika wapi? Hahaha khaa hat hili hujui!!!?

Hahahaha boss kama kijiweni kwenu wanakudanganya unajua muziki nenda ukawachape makofi.

Sawa mimi ni chawa ila wewe levo yako ya unafiki ni kua Chawa wa Kimataifa.
 
Mwl wako alipata tabu ,mbona unahamsha magoli sehemu gani nimesema wimbo mzuri ila beat yake mbaya (highlights).Alafu wewe tatizo unaongpzwa na uteam na hisia kuliko uhalisia ,hivi huoni trend ya Iokote katika social media ni kubwa .
.
Haya angalia umehamisha magoli mimi sehemu gani nimemtaja Diamond ? Kwa hiyo watu kumkubali Darassa ndio wanafiki (kila mtu na moyo wake) mbona unasababu za kitoto ww,mbona uheleweki umesimamia nini ,mimi siku elewe,alafu elewa Diamond kwa mwaka ule alikuwa na hit,but single Muziki ulikuwa mzuri huo ndio ukweli mwenyewe ,Modric kuwa bora ni bora mwaka huu,lkn katika kipindi cha miaka kumi wanao tawala ni Messi na Ronaldo,Darasa alikuwa bora kwa mwaka huo,lkn ktk miaka ile mitano Diamond ndiye aliyekuwa anatawala.

Nimejikanyaga wapi,ujue labda haya ninayoyaeleza sijui yanahitaji IQ kubwa manake ww hunielewi,hebu rudia comment yangu ya kwanza kucoment ktk huu uzi labda utaelewa nazungumzia ninii ,mimi naona hatuelewani alafu unabadilisha mada kila saa.
 
hahaha Braza bangi acha. Mi nimezungumzia unafiki wa hadi kutabiri Darasa kumfunika Diamond we unaleta story za Uteam. Huo uzi upo humu utafute.

Iq kubwa ya unafiki kweli unayo, hilo siyo swali.

Muziki hujui, Iokote mbaya na Cabo hakuperform kwa ajili ya watoto.
 
Highlights ktk comments zangu, kama Kuna sehemu nimemtaja Diamond, basi haya, kwani ww umesimamia wapi yaani mimi sikuelewi, tuanzie hapo.
 
Cabo hakuperform kwa ajili ya watoto na Iokote mbaya.
 
Hakika Nay kautendea haki wimbo wake.
Hauchoshi kusikiliza
 
Cabo hakuperform kwa ajili ya watoto na Iokote mbaya.
Huo ndio ukweli wenyewe na ndio maana show ikawekwa mchana, bahati show ikachelewa kuisha sababu ya mvua hata kiingilio kilikuwa cha kawaida TSh 5000 na ndio show wakaipa jina la family day na wakamleta msanii ambaye anapendwa na watoto. Big brother sijui walitumia criteria gani, ila kama ukisoma ile link niliyokuwekea utaelewa kama hutaki si kulazimishi.
 
Back
Top Bottom