Mwl wako alipata tabu ,mbona unahamsha magoli sehemu gani nimesema wimbo mzuri ila beat yake mbaya (highlights).Alafu wewe tatizo unaongpzwa na uteam na hisia kuliko uhalisia ,hivi huoni trend ya Iokote katika social media ni kubwa .
.
Haya angalia umehamisha magoli mimi sehemu gani nimemtaja Diamond ? Kwa hiyo watu kumkubali Darassa ndio wanafiki (kila mtu na moyo wake) mbona unasababu za kitoto ww,mbona uheleweki umesimamia nini ,mimi siku elewe,alafu elewa Diamond kwa mwaka ule alikuwa na hit,but single Muziki ulikuwa mzuri huo ndio ukweli mwenyewe ,Modric kuwa bora ni bora mwaka huu,lkn katika kipindi cha miaka kumi wanao tawala ni Messi na Ronaldo,Darasa alikuwa bora kwa mwaka huo,lkn ktk miaka ile mitano Diamond ndiye aliyekuwa anatawala.
Nimejikanyaga wapi,ujue labda haya ninayoyaeleza sijui yanahitaji IQ kubwa manake ww hunielewi,hebu rudia comment yangu ya kwanza kucoment ktk huu uzi labda utaelewa nazungumzia ninii ,mimi naona hatuelewani alafu unabadilisha mada kila saa.