AlisemaUnaitwajee
Teh teh mkuu mbona unapingana sana na situations.. Yani Wimbo wa Darasa -Muziki ulikua mbaya (sio hit) ?? Sikatai baada ya hapo nini kimemsibu akawa kimya.Bob siyo nataka ligi Cabo Snoop na Prakatatumba ni mfano wa nyimbo nyingi ambazo zinabebwa na beat nyimbo zingine ni Gangnam Style, Oga Police, Gwara Gwara, Dame Tu Cosita n.k.
Cabo hakuja kwa ajili ya watoto, huo ni uongo. Wimbo wa Maua Sama ni mbovu kuliko wimbo wake wa Sisikii lakini kwakua wabongo sisi ni wanafiki ndiyo tunauona Iokote mzuri. Huu unafiki alifanyiwa Darasa na wimbo wake wa Muziki, tuliona kilichofuata.
mnavyomsifia sasa... Ngoja na mimi nikaume kwanza nisipitweHii nmeielewa aiseee nay hapendi ujinga Sana mkeka wake kabeti vzr
Kuna tofauti kati ya wimbo kua hit na kua mzuri.Teh teh mkuu mbona unapingana sana na situations.. Yani Wimbo wa Darasa -Muziki ulikua mbaya (sio hit) ?? Sikatai baada ya hapo nini kimemsibu akawa kimya.
Iokote nayo sio hit??
Ebanae huenda ni mtazamo wako lakini majority talks.
Duuh sawa mkuuKuna tofauti kati ya wimbo kua hit na kua mzuri.
Do You Want Another Rap wa Museveni ulikua hit ila haukua mzuri.