Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

mkuu hujauona washa data ya harmorapa
 
Bob siyo nataka ligi Cabo Snoop na Prakatatumba ni mfano wa nyimbo nyingi ambazo zinabebwa na beat nyimbo zingine ni Gangnam Style, Oga Police, Gwara Gwara, Dame Tu Cosita n.k.

Cabo hakuja kwa ajili ya watoto, huo ni uongo. Wimbo wa Maua Sama ni mbovu kuliko wimbo wake wa Sisikii lakini kwakua wabongo sisi ni wanafiki ndiyo tunauona Iokote mzuri. Huu unafiki alifanyiwa Darasa na wimbo wake wa Muziki, tuliona kilichofuata.
Teh teh mkuu mbona unapingana sana na situations.. Yani Wimbo wa Darasa -Muziki ulikua mbaya (sio hit) ?? Sikatai baada ya hapo nini kimemsibu akawa kimya.
Iokote nayo sio hit??
Ebanae huenda ni mtazamo wako lakini majority talks.
 
hivi lakini huyu john anaemtaja ney ni john gani maana john wako wengi sana hata yemi yalade keshamuimba john kwenye wimbo wake mmoja hiv
 
Teh teh mkuu mbona unapingana sana na situations.. Yani Wimbo wa Darasa -Muziki ulikua mbaya (sio hit) ?? Sikatai baada ya hapo nini kimemsibu akawa kimya.
Iokote nayo sio hit??
Ebanae huenda ni mtazamo wako lakini majority talks.
Kuna tofauti kati ya wimbo kua hit na kua mzuri.

Do You Want Another Rap wa Museveni ulikua hit ila haukua mzuri.
 
Comment zenu zimenifanya niende kuutafuta huo wimbo wa Ney, nimeusikiliza mara moja tu sijakipata kile kinachosifiwa. Maana utunzi wa kawaida (hakuna sanaa yoyote iliyotumika), mtiririko wa vina mbovu, hakuna rhythm wala kufuata ala za sauti.
Ninachoona ni kwamba anasifiwa labda kwa sababu kataja mambo tunayoyaona na kutamani tuyasikie kwahiyo tunaona yupo upande wetu.

Kitu pekee nilichopenda ni ile chorus kwakua imerudisha hisia zangu enzi za mchakamchaka.
 
Hii ngoma ya lavalava mbona biti linataka kufanana na ngoma ya tid na mavoko-we dada? Halafu producer ni yule yule abbah
 
Back
Top Bottom