Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hapa M7 kachemka amewaza kwa akili za vebwengo wa mtungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo siyo kupinga. Tatizo ni uzalishaji, bei za bidhaa hizo na umasikini. Ndiyo inafanya nguo za mitumba hazina soko.Hii safi sana.
Nimelikemea hili na nimeliponda kwa miaka mingi sana.
Waafrika wote tupige marufuku mitumba yote. Ya nguo, ya magari, ya nafriji na kila kitu.
Ndipo tutakapoweza kufanya vyetu wenyewe.
Hapa namuunga mkono Museveni 100%.
Shida ni umasikini. Una hela yako unaweza kuvaa nguo za mitumba?Watu wanavaa mpaka chupi za mitumba[emoji848]
Kweli umasikini unachnagia sana. Lakini mazoea pia huchangia.Shida ni umasikini. Una hela yako unaweza kuvaa nguo za mitumba?
kwa mara ya kwanza naungana na weweHii safi sana.
Nimelikemea hili na nimeliponda kwa miaka mingi sana.
Waafrika wote tupige marufuku mitumba yote. Ya nguo, ya magari, ya nafriji na kila kitu.
Ndipo tutakapoweza kufanya vyetu wenyewe.
Hapa namuunga mkono Museveni 100%.
Hii safi sana.
Nimelikemea hili na nimeliponda kwa miaka mingi sana.
Waafrika wote tupige marufuku mitumba yote. Ya nguo, ya magari, ya nafriji na kila kitu.
Ndipo tutakapoweza kufanya vyetu wenyewe.
Hapa namuunga mkono Museveni 100%.
Sasa mna uwezo wa kuvaa Brand new?Nguo za mitumba ni bora.Unaifua unaipiga pasi na zinadumu. Hizi nguo wala si za wafu. Kwani huko mbele si wanavaa nguo Winter,summer ,spring na automne. So wanavaa nguo kwa muda mfupi.As nguo ya summer hauwezi ivaa winter.Tuwachane na mitumba, wanatulemaza wanaotuuzia kafa ulaya.
"Necessity is the mother of invention".
Kwa nchi yetu ninakataa.Mitumba ni biashara .Watu wanaishi kwa kuuza mitumba. By the way kuvaa nguo iliyokuwa ya mbibi aliekufa kuna ubaya gani?kwa mara ya kwanza naungana na wewe
Unanuna nini?Kwanza mitumba zinaendesha maisha ya watu.Mkiwazuia mtawalisha?Huyo Mseveni anasema tu.Wala hataweza kuzuia.
hii ni zaidi ya dharau tunafanyiwa anya way zipo nyingi zinakuja na maradhi na pia nyingine zimechoka sana kiasi hazifai kwa biashara tumekuwa dampo lao we unakubali?Kwa nchi yetu ninakataa.Mitumba ni biashara .Watu wanaishi kwa kuuza mitumba. By the way kuvaa nguo iliyokuwa ya mbibi aliekufa kuna ubaya gani?
True. Watetezi wa mabeberu watatokezea tu kwenye huu uzi.Kama tunavyoweza kujenga nyumba mpya kwa cement yetu tutaweza kuunda magari mapya kwa chuma chetu.
Tuwachane na mitumba.
Yeye hana sababu ni mwizi na mrafi wa madaraka .........ila anawaumiza wengine bila sababu kwa sababu ya kiburi chake ..........sijui anadhani uraisi ni mpaka kifo chake?............ngoja aone joto lake sasaAmewajibu wamarekani kwa vitendo, Kuna kipindi East Africa community walitaka kupiga marufuku marekani wakaja juu Ila baada ya kumwekea vikwazo Hana cha kuloose.
Hata huko majuu mitumba ipo.Si wote wanavaa Brand new.hii ni zaidi ya dharau tunafanyiwa anya way zipo nyingi zinakuja na maradhi na pia nyingine zimechoka sana kiasi hazifai kwa biashara tumekuwa dampo lao we unakubali?
Mpumbavu yule Mseveni,li nchi lenyewe majority ni hohehahe. Bora angekuwa hata Rais wa Qatar hapo tungesema Yeees. Wananchi wapo njema.Yeye hana sababu ni mwizi na mrafi wa madaraka .........ila anawaumiza wengine bila sababu kwa sababu ya kiburi chake ..........sijui anadhani uraisi ni mpaka kifo chake?............ngoja aone joto lake sasa
Ni kweli.Kweli umasikini unachnagia sana. Lakini mazoea pia huchangia.
Wakati mwingine tunanunua viatu vya mtumba (Kwa mfano) vinavyogharinu 40,000/- na zaidi ambayo ingetosha kununua viatu vipya dukani.
Na quality pia. Sio unanunua kiatu mwezi mmoja kimeisha.Ni kweli.
Kuna watanzania wangapi wanaweza kununua viatu vya 40,000?
Vya mtumba unaweza kupata hadi 10,000 sasa vya spesho?
Uzalishaji ukiwa mkubwa na bei ikawa rafiki. Mitumba inapotea