Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Misuse of Identity is a true transforming and spreading pandemic for Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri unasema chama tawala 😄Kwani yeye Al-Bashir ni Mwafrika au Mwarabu ?
Kuna Dini ukiingia inabidi uiingie mazima hakuna kutoka wala kutumia akili zako binafsi.
Unabidi ufanye tu kile alichosema mtu fulani huko mbali.
Naona unarudia maneno ya Lukuvimuungano ukivunjika soon zanziba itakuwa dola la kiislam, sultan atarudi kuja kuendeleza usultani. Hiyo bendera yao itabadilishwa kuondoa ile ya muungano ndani yake. Siasa za zanzibar zitakuwa vululuvululu, yatatimia yaliyonenwa na nabii mwenye heri nyerere
Nani kasema waarabu hawajafika una tatizo la comprehension mkuu.Walikua Arabised bila waarabu kufika ? ebu kasome Arab invasion ya Egypt na hizo nchi utajua
ya kufikiria yapo mengi, si hayo tuNaona unarudia maneno ya Lukuvi
Hapo ndio mwisho wa kufikiri
Kama tunawaza hivi kuwa watarudi basi hatujiamini na kuwaza kuwa watumwa tenaya kufikiria yapo mengi, si hayo tu
Hakuna watu wanawabagua kama warabu nenda siku uarabuni utaonaHalafu waarabu wenyewe hawakereki tunakereka sisi huku waTz.
Kwa hiyo nyerere angekua mfalme na watoto wake wakina makongoro wangekua maprinceDemocracy ni ujinga ambao hauna faida kabisa , ndio chanzo cha umaskini wa Africa....Wafalme pamoja na mapungufu yao ila wanakuwa kama wazazi wanalelea nchi ndio maana hata zamani hizi kingdom ilikuwa wana utaratibu mzuri.
Nyerere ni mfumo tofauti na ufalme .Kwa hiyo nyerere angekua mfalme na watoto wake wakina makongoro wangekua maprince
Africa ya kati kikundi cha waislamu seleka kilivyoshika madaraka kilianza kuwatesa wakristo walio wengi nini kilitokea wakristo waliunda ant balaka na kuwaondoa seleka madarakani ila mpaka leo hakuna amani tenaSema kuna maboksi yatakuja kuprove right kwa sababu ya uislamu umetajwa,,,,, achana na Sudan vipi Afrika ya kati yenye utambulisho wa kikristo kuna nini kinaendelea.
Mkiweka chuki za kidini kwenye jamii na hata kwenye maendeleo ya nchi basi sahauni kuhusu kuendelea kwa sababu kuna upinzani utajitokeza ili kuzuia juhudi za wengine kwa njia yoyote ile mfano suala la bandari na mengineyo.
Tofauti kivipi nawakati yeye ndo aliyepewa uhuruNyerere ni mfumo tofauti na ufalme .
unachobishia ni nini? Zanzibar bado ni changa sana haiwezi kuhimili upinzani wa wao kwa wao lazima ccm inende na maji kule. Tunaposema usultan hatumaanishi ule usultan kabla ya mapinduzi. Ni usultan katika zama mpya za kidemokrasia. Ulishawahi kuona siasa za CUF enzi za maalim seif kabla ya kuhamia ACT? Masalia ya usultan yangalipo hadi leo katika siasa za zanzibar. Masultan yana uchungu wa kupinduliwa serikali yao na wanapambania kuirudisha kwa sura nyingine ya kidemokrasia unayoiona sasa. Wana vyama vyao, ZPPP/ZNP bado ipo, ipo kwa jina jingine, chupa mpya mvinyo uleule. Itisha uchaguzi mkuu, weka sanduku la kura, matokeo utayaona. Pemba unaijua au unaisikia? Kule ccm haijulikani kwa wale waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba vyaoKama tunawaza hivi kuwa watarudi basi hatujiamini na kuwaza kuwa watumwa tena
Hicho chama tawala ni Usultani toshaunachobishia ni nini? Zanzibar bado ni changa sana haiwezi kuhimili upinzani wa wao kwa wao lazima ccm inende na maji kule. Tunaposema usultan hatumaanishi ule usultan kabla ya mapinduzi. Ni usultan katika zama mpya za kidemokrasia. Ulishawahi kuona siasa za CUF enzi za maalim seif kabla ya kuhamia ACT? Masalia ya usultan yangalipo hadi leo katika siasa za zanzibar. Masultan yana uchungu wa kupinduliwa serikali yao na wanapambania kuirudisha kwa sura nyingine ya kidemokrasia unayoiona sasa. Wana vyama vyao, ZPPP/ZNP bado ipo, ipo kwa jina jingine, chupa mpya mvinyo uleule. Itisha uchaguzi mkuu, weka sanduku la kura, matokeo utayaona. Pemba unaijua au unaisikia? Kule ccm haijulikani kwa wale waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba vyao
Na Afrika magharibi je???Africa ya kati kikundi cha waislamu seleka kilivyoshika madaraka kilianza kuwatesa wakristo walio wengi nini kilitokea wakristo waliunda ant balaka na kuwaondoa seleka madarakani ila mpaka leo hakuna amani tena
Boko haram na islamic stateNa Afrika magharibi je???
alikuwa mjinga sana, anasema sudan ni nchi ya kiarabu wakati yeye mwenyewe sio mwarabu, ni mchanganyiko wa wabantu fulani hivi na kwa mbaaaali vinukta vya DNA ya kiarabu ila ni mwafrika mweusi tu. huwa nawaonea huruma sana watoto wa mama wa kambo, huwa wanatamani Mungu angewaumba waarabu lakini bahati mbaya ndio ilikuwa hivyo tena, ni wabantu wenzetu.Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.
Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.
Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.
Kwani hamna watawala wa kikristo wanaotaka kutawala milele hadi kupelekea machafuko katika kanda ile???Boko haram na islamic state
Kama mtawala yupi mtaje jinaKwani hamna watawala wa kikristo wanaotaka kutawala milele hadi kupelekea machafuko katika kanda ile???
Are you mad???