Yoyote asemae huu mwaka sio wa haki kutamalaki ,njoo na utajibiwa

Yoyote asemae huu mwaka sio wa haki kutamalaki ,njoo na utajibiwa

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya, kila mmoja kwa imani yake .

Rejea kichwa cha habari hapo juu,

Yeyote ambae anasema kwamba huu mwaka sio wa haki ajitokeze kwa hoja na atajibiwa.

Huu mwaka ni wa haki nyie machawa kaeni mguu sawa mtajua ,hamjui.

Mungu kaniambia Mengi ila kubwa sana mabadiliko yanakuja nje ya ccm , Mungu anaendelea ikataa ccm
Tunzeni hii ,asema Bwana.
 
1767267246991.jpg
 
Back
Top Bottom