jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwahiyo umetumwa na huyo hawa..ili jina lake lianze kusikika masikioni mwa watawara ili ale teuzi ama?.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani itoshe kusema alikuwa tapeli na mwizi hakufaa kushika ofisi ya umaAlikuwa pia ni digara (tajiri) wa kununua korosho kwa kangomba huko kusini.
Yani kamgongaHuyu Waziri nakumbuka kioindi hicho anaend Mangowera Mtwara kwa mganga wake akiitwa Mzee Mkulima! Kamlaza sana chini.
Alikua mpiga ramli[emoji1787][emoji1787]Huyu Baba Ake alikuwa msoma vitabu vya masala ya Nyota
Ila unakuwa umeshatesa watuHela ya dhuluma huwa haikai[emoji28]
Wahuni na malaya wa kisiasa hawakumalizwa. Yani naelewa kwaninj viongozi makini kama nyerere na magufuli walikuwa wanaonekana wanaroho mbaya kazi ya kuleta maendeleo kwa jamii iliyoharibika lazima uwe mtu wa kutoa kibano kwa wahuni. Kuna siku wahuni watapungua na sheria itafutwa ila kwa awaku hii tumerudi mwaka 2005-2015Marehemu Magu Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko....aliifaa sana hii nchi hawa wajinga walishaanza kushika adabu, maana alikuwa haangalii usoni ukizingua unaweza kwenda jela au kuwa blackmailed.....lazima ukae kwa adabu bila kujitingishatingisha....kama kuna mtu mkewe alitaka kupigwa pingu busara za lupaso zikaokoa jahazi.....yule ndio Nzilakende aka mwamba call him what you can call....
InshaAllan kwa uwezo wa Mungu kitapatikana chuma kingine soon....hii nchi wajinga wengi sana wanapaswa kushikishwa adabu na watambue nchi ni mali ya watanzania zaidi ya 60mil...
Hapana Bwa Shekhe imean kulala sakafuni na kuogea pemben mwa nyumbaYani kamgonga
Na karma ilivo mbaya jiwe naye akamkata juu kwa juuH
Huyu mganga ndo alikuwa anaua wapinzani wake ndani ya chama. Mama katili sana huyu
Halafu mwishowe wake ?