Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

She was a saddist and many people suffered because of her na alikuwa na udini komesha pale utumishi yeye na Makonda/ sabaya ni sawa tu Kwa matendo maovu.
Mhhh kumbe ndio kisa cha kuchuikwa ni dini yake!
 
Marehemu Magu Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko....aliifaa sana hii nchi hawa wajinga walishaanza kushika adabu, maana alikuwa haangalii usoni ukizingua unaweza kwenda jela au kuwa blackmailed.....lazima ukae kwa adabu bila kujitingishatingisha....kama kuna mtu mkewe alitaka kupigwa pingu busara za lupaso zikaokoa jahazi.....yule ndio Nzilakende aka mwamba call him what you can call....

InshaAllan kwa uwezo wa Mungu kitapatikana chuma kingine soon....hii nchi wajinga wengi sana wanapaswa kushikishwa adabu na watambue nchi ni mali ya watanzania zaidi ya 60mil...
Sahizi kapulumbila huko aliko du raha sana
 
Mleta mada kauliza Hawa Ghasia yuko wapi lakini hamumujibu vizuri mnaanza mambo mengine,

Mleta mada soma hapa:

Hawa Gasia mbunge wa zamani wa Mtwara vijijini yuko Mtwara anaishi Shangani area sehemu ya wazito pande hii ya Mtwara ana nyumba mbili zipo sehemu moja ni nyumba za kawaida sana ukilinganisha na mijengo inayoporomoshwa Mtwara kwa sasa hivi .

Baadae akawa Mbunge wa Mtwara baada ya jimbo lake kugawanywa mala mbili na kuanzishwa jimbo lingine la Nanyamba ambapo mbunge wake ni Mh. Abdallah Chikota , liligawanywa kwa sababu kule Nanyamba alikuwa hakubariki kabisa.
Kijijini kwao Hawa Gasia ni IMEKUWA kando ya bahari ya hindi unaingilia kijiji cha Msijute pale kwenye kiwanda cha Dangote ( wenyewe wamakonde huita Nsijute)ni umbali wa km 22 hivi toka Mtwara mjini.

Ni kweli na yeye aliishi kumtegemea sana Kikwete, alikuwa na majivuno sana wakati wa JK kipindi chote cha Jk alikuwa ni waziri wa TAMISEMI. Alikuwa na nyodo sana na alikuwa mtu wa kujitutumua kwani pale Halmashauri walikuwa wanamwogopa sana hasa kipindi cha Mkurugenzi Simbeye, hadi ndege za Precisian zilikuwa zikimsubiri mpaka afike.

Katika uchaguzi uliopita aliongoza vitua vyote lakini hakutangazwa mshindi, sababu za ndani kabisa ni mume wake akiitwa Yahaya alikuwa ni afisa katika ubalozi wa Tz inhini INDIA.

Inasemekana wakati wanatofautiana na Ngosha mume wake huyo alimtweet akimuonya mke wake huyo asibishane na Ngosha lakini tweet hiyo aliiandika kimakonde ndani yake kukawa na neno LIMUCHEHE , Limchehe kwa kimakonde ni fisi, alimwambie asibishane na fisi, kwa bahati mbaya sana tweter hiyo Ngosha aliiona sasa unafikiri angefanyaje? Na mume huyo alirudi Bongo fasta fasta.

Wakati wa vuguvugu la gesi haitoki wananchi walichoma nyumba kazaa za serikali ikiwemo na mahakama ya mwanzo , nyumba aliyochomwa ni ya mume wake Hawa GHASIA huyo Yahaya za mbunge hazikuchomwa.

Mwanzoni alitaka kumzoea Ngosha hadi alimwiga ule usemi wake wa Wastaafu wengine wanawashwawashwa, alikuwa na yeye Hawa anaurudiarudia sana Bungeni hadi pale Ngosha alivyompiga fullstop alipomwambia akimletea za kuleta atapiga wajomba zake na shangazi zake Basi Hawa akajiongeza akakoma kulinga hadi alivyofukuzwa ubunge.

Mwaisho Ishi kumtegemea Mungu siyo mtu kuishi kumtegemea mtu waulize Poul Makonda. Lengai Ole Sabaya na Hawa Ghasia watakuambia hasara zake.
 
Kwakweli pua yake, sura na kichwa vimekaa vibaya
Wanaume mnakaa mkianza kujadili pua yake ilivyo kuwa mbya badala kujadili matendo yake katika uongozi?
JF mabwabwa yamejaa humu other ways ww uwe MWANAMKE
 
Hawa Ghasia ni mtu mwenye msimamo thabet uwe msimamo huo ni sahihi au laa!

Tabia hii karithi kwa Marehem Mzee wake

Waliosoma nae Mzumbe watakueleza heka heka zake tangu akiwa Huko, mliomjua kuanzia awamu ya Nne mnaweza mkadhan tabia hiyo kaanzia wakati wa JK

Huyu alikosoa hata Utawala wa JPM tena kaukosoa Bungeni na hakuwahi kupiga magoti hadi akapotezewa Ubunge
Kwny NEC alipasuka kweli kweli mbele ya wasiotegemewa kukosolewa uso kwa uso
huwa nakuelewa sana mkuu
 
Hilo swali hasa ndilo lilikuwa msingi wa mada yako; jibu ni simple tu, "wewe unamtakia nini mke wa mtu ??!!"
Hata mi nimejiuliza hili swali wakasahau kuwa ni mama na ni mke wa mtu.

ngalia sasa mumewe keshajua kuwa dereva wake alikuwa akimlaza kifo cha mende,mtakeni radhi mama wa watu.
 
Hawajui kuwa sasa hivi si Mbunge ila ni Mke wa Mbunge
Hata mi nimejiuliza hili swali wakasahau kuwa ni mama na ni mke wa mtu.

ngalia sasa mumewe keshajua kuwa dereva wake alikuwa akimlaza kifo cha mende,mtakeni radhi mama wa watu.
 
Waliokukabidhi kisu wakijua wewe ni chizi jua ukiwazingua wanajua namna gani ya kukupora hicho kisu
Marehemu Magu Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko....aliifaa sana hii nchi hawa wajinga walishaanza kushika adabu, maana alikuwa haangalii usoni ukizingua unaweza kwenda jela au kuwa blackmailed.....lazima ukae kwa adabu bila kujitingishatingisha....kama kuna mtu mkewe alitaka kupigwa pingu busara za lupaso zikaokoa jahazi.....yule ndio Nzilakende aka mwamba call him what you can call....

InshaAllan kwa uwezo wa Mungu kitapatikana chuma kingine soon....hii nchi wajinga wengi sana wanapaswa kushikishwa adabu na watambue nchi ni mali ya watanzania zaidi ya 60mil...
 
Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo

Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.

Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.

Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?
Hawa Ghasia bahili sana kuna jamaa angu alikua dereva wake kipindi fulani anakuambia ni bahili sana akaachana nae bunge linatoa hela za madereva wa wabunge lkn yeye ile hela ikitolewa lazima aifyeke halafu mtu anaemuendesha anampa kiasi kidogo hawa wabunge wana roho mbaya sana
 
Mbna huyu unaemsifia hapa aliwabeba majambazi wengi tu,punguza mawadda ndugu
Marehemu Magu Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko....aliifaa sana hii nchi hawa wajinga walishaanza kushika adabu, maana alikuwa haangalii usoni ukizingua unaweza kwenda jela au kuwa blackmailed.....lazima ukae kwa adabu bila kujitingishatingisha....kama kuna mtu mkewe alitaka kupigwa pingu busara za lupaso zikaokoa jahazi.....yule ndio Nzilakende aka mwamba call him what you can call....

InshaAllan kwa uwezo wa Mungu kitapatikana chuma kingine soon....hii nchi wajinga wengi sana wanapaswa kushikishwa adabu na watambue nchi ni mali ya watanzania zaidi ya 60mil...
 
Mleta mada kauliza Hawa Ghasia yuko wapi lakini hamumujibu vizuri mnaanza mambo mengine,

Mleta mada soma hapa:

Hawa Gasia mbunge wa zamani wa Mtwara vijijini yuko Mtwara anaishi Shangani area sehemu ya wazito pande hii ya Mtwara ana nyumba mbili zipo sehemu moja ni nyumba za kawaida sana ukilinganisha na mijengo inayoporomoshwa Mtwara kwa sasa hivi .

Baadae akawa Mbunge wa Mtwara baada ya jimbo lake kugawanywa mala mbili na kuanzishwa jimbo lingine la Nanyamba ambapo mbunge wake ni Mh. Abdallah Chikota , liligawanywa kwa sababu kule Nanyamba alikuwa hakubariki kabisa.
Kijijini kwao Hawa Gasia ni IMEKUWA kando ya bahari ya hindi unaingilia kijiji cha Msijute pale kwenye kiwanda cha Dangote ( wenyewe wamakonde huita Nsijute)ni umbali wa km 22 hivi toka Mtwara mjini.

Ni kweli na yeye aliishi kumtegemea sana Kikwete, alikuwa na majivuno sana wakati wa JK kipindi chote cha Jk alikuwa ni waziri wa TAMISEMI. Alikuwa na nyodo sana na alikuwa mtu wa kujitutumua kwani pale Halmashauri walikuwa wanamwogopa sana hasa kipindi cha Mkurugenzi Simbeye, hadi ndege za Precisian zilikuwa zikimsubiri mpaka afike.

Katika uchaguzi uliopita aliongoza vitua vyote lakini hakutangazwa mshindi, sababu za ndani kabisa ni mume wake akiitwa Yahaya alikuwa ni afisa katika ubalozi wa Tz inhini INDIA.

Inasemekana wakati wanatofautiana na Ngosha mume wake huyo alimtweet akimuonya mke wake huyo asibishane na Ngosha lakini tweet hiyo aliiandika kimakonde ndani yake kukawa na neno LIMUCHEHE , Limchehe kwa kimakonde ni fisi, alimwambie asibishane na fisi, kwa bahati mbaya sana tweter hiyo Ngosha aliiona sasa unafikiri angefanyaje? Na mume huyo alirudi Bongo fasta fasta.

Wakati wa vuguvugu la gesi haitoki wananchi walichoma nyumba kazaa za serikali ikiwemo na mahakama ya mwanzo , nyumba aliyochomwa ni ya mume wake Hawa GHASIA huyo Yahaya za mbunge hazikuchomwa.

Mwanzoni alitaka kumzoea Ngosha hadi alimwiga ule usemi wake wa Wastaafu wengine wanawashwawashwa, alikuwa na yeye Hawa anaurudiarudia sana Bungeni hadi pale Ngosha alivyompiga fullstop alipomwambia akimletea za kuleta atapiga wajomba zake na shangazi zake Basi Hawa akajiongeza akakoma kulinga hadi alivyofukuzwa ubunge.

Mwaisho Ishi kumtegemea Mungu siyo mtu kuishi kumtegemea mtu waulize Poul Makonda. Lengai Ole Sabaya na Hawa Ghasia watakuambia hasara zake.
Nimekuelewa sana mkuu,ni andiko lenye mashiko,nimelirudia sana
 
Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo

Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.

Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.

Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?
Very soon atarejea yupo camp anajifua
 
Back
Top Bottom