Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

haya ndio madhara ya kuwapa watu nyadhifa kishikaji kishikaji na si kwa kutumia uwezo wao kiakili na utendaji....ndio maana tunaingi kwenye hizi shida...
 
Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo

Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.

Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.

Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?
Na kipindi cha Ngosha alikuwa anasonywa na nani?
 
Hawa Ghasia ni mtu mwenye msimamo thabet uwe msimamo huo ni sahihi au laa!

Tabia hii karithi kwa Marehem Mzee wake

Waliosoma nae Mzumbe watakueleza heka heka zake tangu akiwa Huko, mliomjua kuanzia awamu ya Nne mnaweza mkadhan tabia hiyo kaanzia wakati wa JK

Huyu alikosoa hata Utawala wa JPM tena kaukosoa Bungeni na hakuwahi kupiga magoti hadi akapotezewa Ubunge
Kwny NEC alipasuka kweli kweli mbele ya wasiotegemewa kukosolewa uso kwa uso
 
Kumbe Mama anaujasiri uliowashinda akija Nappe walioenda kuomba radhi na jua kali
 
Hawa Ghasia ni mtu mwenye msimamo thabet uwe msimamo huo ni sahihi au laa!

Tabia hii karithi kwa Marehem Mzee wake

Waliosoma nae Mzumbe watakueleza heka heka zake tangu akiwa Huko, mliomjua kuanzia awamu ya Nne mnaweza mkadhan tabia hiyo kaanzia wakati wa JK

Huyu alikosoa hata Utawala wa JPM tena kaukosoa Bungeni na hakuwahi kupiga magoti hadi akapotezewa Ubunge
Kwny NEC alipasuka kweli kweli mbele ya wasiotegemewa kukosolewa uso kwa uso
ujasiri wa kupigwa chale za mat@ko kwa mganga wa kienyeji au?
 
Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo

Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.

Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.

Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?
UNauliza yule mwenye sura yenye pua panaaa! Havutii usoni na elimu ni duni sana! Kichwani ni boga.
 
4yiu-c7yXiqBBij-5WS7N0sB6tjSeQAJwvnnbU1umcs1qYaSoiisNksyDCAkDl7UD7ZvxcCl0SMwOW2ovg2MrzFH_g5Y4CzoguD3jSFud5Si1wDNCL85XFY2fVUH=s0-d
5cf3b5ba09-index.jpg
huyo ndo Hawa mwenye Ghasia dume la nyani toka Ntwara mwanangu
Ila hiyo pua!! Dah!
 
Kipindi cha Ngosha alikua mwenyekiti wa kamati ya Bunge sijui ya nini huko,aliisema vibaya Gavoo ya stone kwenye kamati,Ngosha akasema wajiuzuru nafasi zao! Then wakafata kina Vicky Kamata na mwenzake Dalali Peter Kafumu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shikamoo mtaalamu wa Dawasa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom