Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo

Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa usiomithilika. Hakumsheshimu waziri mkuu mhe Pinda wala waziri yeyote yule.

Za chini chini zinadai kwamba hii ndiyo sabab ngosha alipopata kiti kikubwa alimsulubu sana Ghasia. Kwasabb Ghasia alimsonya mara nyingi tu huyu ngosha akiwa waziri.

Anyway, nauliza tu. Yu wapi mwanamke huyu kwa sasa?
Hawa mtoto wa Ghasia?hata huwa sipendi kulisikia hili jina, alikuwa ni ghasia haswa, natamani apotelee huko huko, alijipa uungu mtu enzi zake, l

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hawa mtoto wa Ghasia?hata huwa sipendi kulisikia hili jina, alikuwa ni ghasia haswa, natamani apotelee huko huko, alijipa uungu mtu enzi zake, l

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
She was a saddist and many people suffered because of her na alikuwa na udini komesha pale utumishi yeye na Makonda/ sabaya ni sawa tu Kwa matendo maovu.
 
Ndo maana nimesema beauty is relative,wew unamwona mzuri lakini kwa mwingine anamwona wa kawaida sana, ni hivyo tu kiongozi
basi sawa mkuu, kwahiyo kwa mwono wangu na wengine niwajuao tunamjua kama mrembo sana
 
Haya kiongozi naona unapambana ili usijione kuwa upo peke yako ktk hilo haaaahaaaha hatari
basi sawa mkuu, kwahiyo kwa mwono wangu na wengine niwajuao tunamjua kama mrembo sana
 
She was a saddist and many people suffered because of her na alikuwa na udini komesha pale utumishi yeye na Makonda/ sabaya ni sawa tu Kwa matendo maovu.
Duuh!
 
Back
Top Bottom