Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.

1545752573956.png
 
Sisi wengine tumepigwa ban kwenye nchi yetu ya kuangalia baadhi ya channel hata hatujui kama alishaondoka ITV.
Nnapenda kujua muafaka wa ving'amuzi vilivyozuiliwa utakuaje au upoje kwa sasa.?
 
Sisi wengine tumepigwa ban kwenye nchi yetu ya kuangalia baadhi ya channel hata hatujui kama alishaondoka ITV.
Nnapenda kujua muafaka wa vingamuzi vilivyozuiliwa utakuaje au upoje kwa sasa.?
TBC inapigiwa promo??
 
Sisi wengine tumepigwa ban kwenye nchi yetu ya kuangalia baadhi ya channel hata hatujui kama alishaondoka ITV.
Nnapenda kujua muafaka wa vingamuzi vilivyozuiliwa utakuaje au upoje kwa sasa.?
Dah! Mkuu umenikumbusha jambo la kuumiza nilinunua DSTV miezi 2 tu ikapigwa ban natamani dish zao kukaangia samaki sasa Tbc1 tu na Bongo movie
 
Sisi wengine tumepigwa ban kwenye nchi yetu ya kuangalia baadhi ya channel hata hatujui kama alishaondoka ITV.
Nnapenda kujua muafaka wa vingamuzi vilivyozuiliwa utakuaje au upoje kwa sasa.?
Siangaliagi kile wanachoita "local channels" naangaliaga CNN..BBC...NATIONAL GEOFRAPHIC NA ZINGINEZO.
 
Back
Top Bottom