Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

Siangaliagi kile wanachoita "local channels" naangaliaga CNN..BBC...NATIONAL GEOFRAPHIC NA ZINGINEZO.
Halafu ukilishwa matango pori ya JF una panic, muhimu kuangalia hata habari za mauzinduzi TBC uone capital expenditure inayotumika nchini.
 
IPP Media wanakimbia sana!!

-Ritta Chiwalo nahisi yupo 98.1 Wapo FM, Chance yake kaichukua Mariam Kitosi.
-Shabban Luppa sijui kakimbilia wapi naona chance yake kachukua Charles.
 
Sina haja na siasa za nchini!! (Niliacha kufuatilia siasa baada ya lisu kupigwa risasi) nasubiri vita tu nifanye kazi yangu.
[emoji23 ][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah! Mkuu umenikumbusha jambo la kuumiza nilinunua DSTV miezi 2 tu ikapigwa ban natamani dish zao kukaangia samaki sasa Tbc1 tu na Bongo movie

Mimi nimejiapiza TBC siweki kama habari nazipata ha JF, kule naangalia the lion guard na watoto zangu.
 
Dada amechoka jamani, kuna siku nimekutana naye yaani yupo rafu rafu tuu. Siku hizi ni ripota wa DIRA TV nilikutana naye siku moja nikamsaidia kazi ya kutuma habari HQ ya DIRA TV.
 
IPP Media wanakimbia sana!!

-Ritta Chiwalo nahisi yupo 98.1 Wapo FM,Chance yake kaichukua Mariam Kitosi.
-Shabban Luppa sijui kakimbilia wapi naona chance yake kachukua Charles.
Wanakimbia wenyewe ama kufukuzwa mkuu?
 
Piga chini tumia eish za zaman bure no stress!
Tunarudi kulekule
Dah! Mkuu umenikumbusha jambo la kuumiza nilinunua DSTV miezi 2 tu ikapigwa ban natamani dish zao kukaangia samaki sasa Tbc1 tu na Bongo movie
 
Naombeni mnijuze wakuu, sijamsikia kwa muda sasa mwanahabari mashuhuri Ufo Saro aliyekuwa ITV.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom